Andrew Massawe wa NIDA aliyekuwa anatafutwa na Waziri Lugola, ateuliwa na rais Kuwa Katibu mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu

Kumfurahisha mfalme inataka moyo sana, maana kama hujui anataka nini utapata tabu sana, hiyo aibu kwake sasa, ataonekana amekulupuka, ila kiki zingine sijui na yeye keshajiona anafaa urais.
 
Ndiyo UFAHAMU kuwa katika watumishi ofisini wako wengine wako kwa kazi maalum. Hivyo ninaamini alikuwa na file lililosheheni mengi. Mpaka kieleweke. Keep it up Masawe.
 
Ndiyo UFAHAMU kuwa katika watumishi ofisini wako wengine wako kwa kazi maalum. Hivyo ninaamini alikuwa na file lililosheheni mengi. Mpaka kieleweke. Keep it up Masawe.
Usisumbuke sana na hawa watoto kwa sababu hawajui kuwa Masawe alitumwa NIDA kwa kazi maalum ili kujua chanzo cha ufisadi na kulinda maslahi ya taifa kuhusiana na mitambo ya uchapati vitambulisho vya taifa.
 
Hapa Kangi awe makini na kutaka kwake sifa, jiwe limeona anatrend sana kwenye vyombo vya habari kuliko yeye (jiwe) na kuamua kuanza kumminya. Litakalofuata ataliona tu!
Tena sana huyu huwa haeleweki anataka nn Kange kuwa makini,head lines zihamie kwako haki ya Mungu huna kazi...hiyo ni dalili mbaya kwako,tusubiri muda utazungumza!!!
 
Huyu alikuwa Kaimu na mkataba ulisainiwa kabla ya yeye kukaimishwa nafasi hiyo. Yeye ni wa kitengo alikuwa kazini hapo
Kwahiyo paka yupi atafungwa kengele? Au tutegemee kukatazwa kuhoji na hilo la mtambo wa NIDA, kama tulivyomatazwa kwa mbwa Hobby? Yote yanawezena....
 
Acha upunguani kama hujui ya NIDA kaa kimya.
Ufisadi NIDA sii wa massawe bali mtangulizi wake.
Kama hufuatilii yanayojiri badi we huku hakukufai
Kwa kauli yako hii, basi NINJA ndiye punguani wa kutupwa na kuzoa. Amri ya siku 10 aliitoa ya nini kwa mwenye jina halisi badala ya cheo cha ofisi husika?
 
July 16 mwaka huu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw.Kangi Lugola alitoa siku 10 kwa Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho (NIDA) Bw.Andrew W. Massawe, kufika ofisini kwake Dodoma kutolea ufafanuzi baadhi ya mambo yanayohusu NIDA.

Lugola alisema Massawe anapaswa kujieleza kwanini mitambo ya kuchapisha vitambulisho haijafika nchini mpaka sasa, na maelezo ya ubiya kati ya NIDA na kampuni ya Ideis Dilham. Lugola alimpiga mkwara mzito kuwa asipofika ofisini kwake ndani ya siku 10 Massawe atamtambua. Siku 10 ziliisha July 26 mwaka huu. Massawe hakwenda.

Jana Rais JPM amemteua Masaawe kuwa Katibu mkuu ofisi ya Rais. Kwa lugha rahisi ni kwamba massawe sasa ndiye mtendaji mkuu wa ofisi ya PM. Bwana Lugola akitaka taarifa au msaada wowote kutoka ofisi ya Waziri Mkuu atalazimika kumuomba mtendaji mkuu ambaye ni Massawe. Nini maoni yako?
Huu sasa mtihani aiseeee
 
Acha upunguani kama hujui ya NIDA kaa kimya.
Ufisadi NIDA sii wa massawe bali mtangulizi wake.
Kama hufuatilii yanayojiri badi we huku hakukufai
Hata kama......si unasubir anamaliza utetezi wake ndo unamuhamisha!!? kwann umkimbize ? unaogopa nn?
 
CCM chama cha hovyo sana, waulize hawa NIDA ,ni watanzania wangapi mpaka leo wana vitambulisho vya Taifa..?
 
Back
Top Bottom