Andrew Chenge,Karamagi na wengineo,mkifikishwa mahakamani wekeni wazi kila kitu vikiweo na vimemo

Waliotufikisha hapa
Pamoja na yote hayo,ukweli lazima uwekwa wazi ili wananchi wajue ni kina nani wametufikasha hapa na kila mtu aone ujinga wa kuwa na hii kinga isiyo na maana.

Ukitafuta waliotufikisha hapa kwa majina utakuwa unapoteza muda bure.....maana ccm wanashirikiana kupitisha uchafu wote tena kwa kuitwa na kupigwa beat na mwenyekiti kwa mtu atakayepinga miswada bungeni. Hii mimbwa ikiishaitwa na mwenyekiti kazi inayobaki ni miwachokoza wapinzani wenye akili nyingi kwa kutumia uwingi wao (wengi wape hata km ni wapumbavu na mabashite km ccm? Hapa wahenga sikubaliani nao katu....)

Tena haya malafi makubwa ccm yanapitisha haya mambo huku yakitukana watz matusi ya nguoni na kwa kejeri na dharau huu huku hii mafisadi ikipiga tu makofi....
Watz hawaitaki lkn inalazimisha kukaa madarakani kwa mabavu kwa goli la mkono bara na kwa kupora ushindi wa wazi visiwani
Shame I you ccm
 
Uzuri Lowassa hana kinga na alishwaambia mumpleke Mahakani ila mpaka leo mmeshindwa mmebaki kupiga sound tu.
Ila tangu awamu ya tano ianze baada ya chuma kuingia jumba jeupe sijawahi tena kumsikia "akishauri" apelekwe mahakamani.
Nadhani anajua enzi za mzaha mzaha zimepita.
 
Nawashauri msikubali kufa na tai shingono na badala yake wakiwafikisha mahakamani wekeni kila kitu wazi vikiwemo vimemo(kama mlipewa) vya kuwaagiza mfanye mliyoyafanya.

Na kwa mawaziri watakaoshitakiwa (kama kweli kuna atakaeshitakiwa) ombeni ruhusu ya mahakama ili ikiwezekana mtoe maelezo/nyaraka za vikao vya baraza la mawaziri in case mlitekeleza maamuzi ya baraza na si yenu binafsi.

Wabunge wa upinzani ikibidi muwasilishe hoja binafsi kutaka kinga ya raisi iondolewe na hoja nyingine za kutaka kashifa kubwa zote za nyuma kama vile RICHMOND, EPA, KAGODA, MEREMETA, KIVUKO KIBOVU,n.k zote zichunguzwe.

Ukitaka kusafisha nyumba husafishi sebuleni tu bali lazima usafishe nyumba nzima pamoja na vyumbani/chumbani tena mpaka kwenye uvungu wa kitanda.

Wanataka tumuunge mkono Raisi basi tumuunge kwa style hii pia na si kwa kusubiri kila kitu aanzishe yeye ndio tumuunge mkono.
Ndoto ya mwendawazimu, je huyo Lowasa na Sumaye wako vipi?
 
That is it...ili tujenge accountability kama wanalo la kujitetea wafanye hivyo. Tusidanganyane hapa, tusipokomaa nao, kina Chenge wengine watatokea kila siku maana hakuna chakuogopa
 
Wewe badala ya kufurahi mafisadi wanashungulikiwa unawatetea kwa mambo ya kubuni... classic example of Chadema support!!!
 
Nawashauri msikubali kufa na tai shingono na badala yake wakiwafikisha mahakamani wekeni kila kitu wazi vikiwemo vimemo(kama mlipewa) vya kuwaagiza mfanye mliyoyafanya.

Na kwa mawaziri watakaoshitakiwa (kama kweli kuna atakaeshitakiwa) ombeni ruhusu ya mahakama ili ikiwezekana mtoe maelezo/nyaraka za vikao vya baraza la mawaziri in case mlitekeleza maamuzi ya baraza na si yenu binafsi.

Wabunge wa upinzani ikibidi muwasilishe hoja binafsi kutaka kinga ya raisi iondolewe na hoja nyingine za kutaka kashifa kubwa zote za nyuma kama vile RICHMOND, EPA, KAGODA, MEREMETA, KIVUKO KIBOVU,n.k zote zichunguzwe.

Ukitaka kusafisha nyumba husafishi sebuleni tu bali lazima usafishe nyumba nzima pamoja na vyumbani/chumbani tena mpaka kwenye uvungu wa kitanda.

Wanataka tumuunge mkono Raisi basi tumuunge kwa style hii pia na si kwa kusubiri kila kitu aanzishe yeye ndio tumuunge mkono.
Hayo majina hapo bila hata ya vimemo walipitisha huku wanakenua meno
 
Walivyopewa na Lowassa aisee it will be interesting!

We unadhani CHADEMA tunamtetea Lowasa...No way

Wezi wote ambao wote ni Wana CCM including Lowasa na Sumaye washughulikiwe

Kwa sababu walikuwa wanatekeleza maelekezo ya chama cha mapinduzi
 
Kwanini msianze kufagia chadema kwa kumfukuza Lowassa na Sumaye?

Lowassa na Sumaye hawana kinga yeyote, hivi kama ni wahalifu na majizi kwanini msiwaburuze mahakamani kwa hayo makosa yao ya ufisadi..
 
Mkuu ndiyo maana jamaa anawahofia hawa maana ufisadi hautamuacha yeyoye salama kama madudu yote yakiwekwa hadharani ikiwemo ya huyu fisadi, mwizi na muongo dikteta uchwara. Nchi itawaka moto na pale Ikulu hakutalika wala kulalika. Na hapo ndiyo vilio vya Watanzania kutaka katiba mpya ya rasimu ya Warioba na Tume huru ya uchaguzi ili kupambana na hawa wahuni na mafisadi wanaojificha nyuma ya mapungufu ya katiba vitazidi kuongezeka.

Nawashauri msikubali kufa na tai shingono na badala yake wakiwafikisha mahakamani wekeni kila kitu wazi vikiwemo vimemo(kama mlipewa) vya kuwaagiza mfanye mliyoyafanya.

Na kwa mawaziri watakaoshitakiwa (kama kweli kuna atakaeshitakiwa) ombeni ruhusu ya mahakama ili ikiwezekana mtoe maelezo/nyaraka za vikao vya baraza la mawaziri in case mlitekeleza maamuzi ya baraza na si yenu binafsi.

Wabunge wa upinzani ikibidi muwasilishe hoja binafsi kutaka kinga ya raisi iondolewe na hoja nyingine za kutaka kashifa kubwa zote za nyuma kama vile RICHMOND, EPA, KAGODA, MEREMETA, KIVUKO KIBOVU,n.k zote zichunguzwe.

Ukitaka kusafisha nyumba husafishi sebuleni tu bali lazima usafishe nyumba nzima pamoja na vyumbani/chumbani tena mpaka kwenye uvungu wa kitanda.

Wanataka tumuunge mkono Raisi basi tumuunge kwa style hii pia na si kwa kusubiri kila kitu aanzishe yeye ndio tumuunge mkono.
 
Mavi kwani siri za serikali zinatolewa kirahisi hivyo? Kumbuka waliana. .. ila kuapa kwako sio uvunje sheria au kuiibia nchi watakufa tu na tai zao shingoni peke yao.. wenye ruksa ya kuweka wazi vimeo ni maafisa wasio apa
 
Nawashauri msikubali kufa na tai shingono na badala yake wakiwafikisha mahakamani wekeni kila kitu wazi vikiwemo vimemo(kama mlipewa) vya kuwaagiza mfanye mliyoyafanya.

Na kwa mawaziri watakaoshitakiwa (kama kweli kuna atakaeshitakiwa) ombeni ruhusu ya mahakama ili ikiwezekana mtoe maelezo/nyaraka za vikao vya baraza la mawaziri in case mlitekeleza maamuzi ya baraza na si yenu binafsi.

Wabunge wa upinzani ikibidi muwasilishe hoja binafsi kutaka kinga ya raisi iondolewe na hoja nyingine za kutaka kashifa kubwa zote za nyuma kama vile RICHMOND, EPA, KAGODA, MEREMETA, KIVUKO KIBOVU,n.k zote zichunguzwe.

Ukitaka kusafisha nyumba husafishi sebuleni tu bali lazima usafishe nyumba nzima pamoja na vyumbani/chumbani tena mpaka kwenye uvungu wa kitanda.

Wanataka tumuunge mkono Raisi basi tumuunge kwa style hii pia na si kwa kusubiri kila kitu aanzishe yeye ndio tumuunge mkono.
Kweli kabisa mkuu,siku zote huwa nampinga ngosha kwa kua wengine anawaonea na wengine anawa protect kama bashite aka paul makonda hapo ndo unaona hicho cheo kikubwa hakimfai na amejiondolea heshima.
 
Sijajua taaluma yako ila kwenye maswala ya sheria mwache chenge atamaliza mwenyewe

Post sent using JamiiForums mobile app
 
muwaache wastaafu wapumzike, kwani hamjui hizi fedha walizozikongori juu kwa juu ndizo zinajenga majumba ya afya?? hamsikii au??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom