Andrew Chenge,Karamagi na wengineo,mkifikishwa mahakamani wekeni wazi kila kitu vikiweo na vimemo

Mtemi Chenge hawezi kupelekwa mahakamani. Lile joka japo ni jizi mno, lina akili ya ziada na huwa linaweka provisions za kujiokoa mbele ya safari. Ona hata hii ya ESCROW. Joka lilifanya eti "consultancy work" kuhalalisha malipo yako. Vilaza akina Ngeleja wao walipewa "zawadi".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom