Andrew Chenge amekwepa mishale Mingi, hii ya mchanga haimuumizi kichwa

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,888
Masikini Chenge, hapo nyuma alijitapa kuwa yeye ni nyoka wa Makengeza mska pesa, lakini hii leo imedhihirika kwamba zilikuwa mbwembwe tu.

Kaishiwa maneno, anawayawaya, amekuwa kama mtoto mdogo, machozi yanaingia tumboni. Akosa la kusema.

Namuonea huruma sana huyu babu.
Kakwepa mishale mingi ila hii kakamatika.

1. Aligonga huko masaki Dar es Salaam akashinda kesi.

2. Alifyatua bastola kuwatishia wanachadema kwenye mkutano wao wa hadahara akashindwa kesi na akalipa elfu mbili.

3. Alichakachua katiba ya warioba tukamuangalia tu.

Sasa nasubiri nione atakavyokwepa hili, ndo ntaamini kweli ninyoka wa Makengeza msaka pesa.

Ila Wanaccm wameila hii nchi vya kutosha.

Wanahabari wakimfuata nyuma Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Serikali Andrew Chenge (MB) kumhoji baada ya kutajwa na kamati ya 2 ya makinikia.
bceed8b51bac8681866f5df7ff7c6aad.jpg
 
Joka la kutisha na kukimbiza! Jamaa anaatamia hela had zinatoa uvundo ukimshangaa nae anakushangaa anakujib hivi vijisenti ww endelea na safari yako
 
Back
Top Bottom