Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 13,550
- 16,631
- Thread starter
- #321
Mbona havihusiani na mada mzee baba
Mbona havihusiani na mada mzee baba
Njoo huku kwetu tunatengeza mvua hata wakati wa kiangazi.Basi subiria mvua inyeshe mkuu
Unatumiwa na mabeberu
EeeehhhNjoo huku kwetu tunatengeza mvua hata wakati wa kiangazi.
Nina miaka 21 spendi unafikiMwana jopo kheri ya mwaka mpya.
Katika uzi huu tunaenda kuandika umri wetu na mambo ambayo kamwe hatuwezi kuyafanya katika umri huo.
Nitaanza na Mimi mwenyewe.
Nina miaka 35
Siwezi kuwa mnafki. (Kujifanyisha)
State your age and something you can't do
Me: 35 and I can't pretend.
Utakosa vingi mkuu ukiendekeza uoga.Eeeehhh
Wacha niendelee tuu kuigopa mvua
Acha nivikose tuu mkuuUtakosa vingi mkuu ukiendekeza uoga.
Mbona wao wanatusema na vibamia vyetu?35 : I cant tell a Lady that she is ugly.... Its rude,find a polite way to say it . Its better to say , " Babe , your face doesn't make sense "
Sisi tuna vifua vya kubeba rejection na ku move on unlike wao.