Andika umri wako na jambo usiloweza kulifanya

Chrismoris

JF-Expert Member
Oct 27, 2017
13,550
16,631
Mwana jopo kheri ya mwaka mpya.

Katika uzi huu tunaenda kuandika umri wetu na mambo ambayo kamwe hatuwezi kuyafanya katika umri huo.


Nitaanza na Mimi mwenyewe.
Nina miaka 35
Siwezi kuwa mnafki. (Kujifanyisha)


State your age and something you can't do

Me: 35 and I can't pretend.
 
20..siwezi kuoa bado nakula ujana[m]
tapatalk_1544266636863.gif


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom