Andika umri wako na jambo usiloweza kulifanya


Dreka

Dreka

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Messages
7,510
Likes
9,204
Points
280
Dreka

Dreka

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2017
7,510 9,204 280
Mwana jopo kheri ya mwaka mpya.

Katika uzi huu tunaenda kuandika umri wetu na mambo ambayo kamwe hatuwezi kuyafanya katika umri huo.


Nitaanza na Mimi mwenyewe.
Nina miaka 35
Siwezi kuwa mnafki. (Kujifanyisha)


State your age and something you can't do

Me: 35 and I can't pretend.
 
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Messages
14,701
Likes
38,295
Points
280
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2013
14,701 38,295 280
Miaka 30..
1. Siwezi kuacha kula bangi
2. Siwezi kuacha kuzama chumvini
3. Siwezi kutema mate baada ya
kuzama chumvini
4. Siwezi kuacha kuwamendea
warembo
5. Siwezi kuacha papuchi ikijileta
6. Siwezi kuacha kusaka K
7. Siwezi kuacha kutumia simu
8. Siwezi kuacha kupenda misosi
9. Siwezi kuacha kucheki movies
10. Siwezi kutembea na beki 3

Mamaeeee

Sent using Sattelite c1175b
 

Forum statistics

Threads 1,251,668
Members 481,836
Posts 29,779,786