Andika umri wako na jambo usiloweza kulifanya


Dreka

Dreka

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Messages
7,510
Likes
9,204
Points
280
Dreka

Dreka

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2017
7,510 9,204 280
Mwana jopo kheri ya mwaka mpya.

Katika uzi huu tunaenda kuandika umri wetu na mambo ambayo kamwe hatuwezi kuyafanya katika umri huo.


Nitaanza na Mimi mwenyewe.
Nina miaka 35
Siwezi kuwa mnafki. (Kujifanyisha)


State your age and something you can't do

Me: 35 and I can't pretend.
 
baba swalehe

baba swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
8,158
Likes
9,621
Points
280
baba swalehe

baba swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
8,158 9,621 280
19 , siwez acha kumcha Mungu sio kumcha mchungaji ...

Pia siwez kata tamaa kuhus ndoto zangu nazozipigania za kuwa neural specialist

Asanten , nauza bagia na mwenye chaji ya pini kubwa aniazime nataka nitolee nyama kwenye jino

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maarifa

Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2006
Messages
3,376
Likes
1,431
Points
280
Maarifa

Maarifa

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2006
3,376 1,431 280
Nitamjua tuu. Napata muda wa kutosha kumpeleleza kabla sijakubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
haha hivi unajua maandiko hayakukosea kuwa tamaa ya mwanamke iko juu ya mumewe!! kuna wanaoweza kushawishi with all means!! ukishamaliza ndio unaanza kuuliza background!!
 
Mpini Wa Chuma

Mpini Wa Chuma

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Messages
1,350
Likes
852
Points
280
Age
32
Mpini Wa Chuma

Mpini Wa Chuma

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2016
1,350 852 280
Mim sina miaka ila siwezi kuhonga nyumba labda range Gari alafu na mtoto awe kweli mtu akiona hawezi kunilaumu
 
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
16,216
Likes
4,560
Points
280
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
16,216 4,560 280
Miaka 35, kutumia avatar ambayo sio yangu.
 

Forum statistics

Threads 1,251,658
Members 481,834
Posts 29,779,535