Andika umri wako na jambo usiloweza kulifanya

Daktari wa Loliondo au ?
Hapana siyo huyo msanii,ni Babu yangu Dkt Adesholamolasatidopuati Ajose Mpakajiturewafumpa pale Mbabane Swaziland toka nina umri wa miwili mpaka mwaka huu natimiza 87 alinibadilisha damu na kuniweka ya kunguni hata shoti ya umeme ainizingui.
 
Far from the usual. G.P.A yangu ni 2.8 tu

Sasa kumbe GPA yako mimi nakuzunguka mara 2 toa 1.2!

Halafu wa kupimwa akili ni mimi au wewe mzee baba?

Tuachane na hizo intelligences ambazo hata stupid persons kama akina Lipumba anaweza pata....

Twende kwenye intellect,unadhani tupimaneje ili tujue nani ni zaidi ya nani ?
 
Tunapima kwa kuangalia uwezo wa mtu katika kupambanua na kukabiliana na changamoto mbalimbali zilizopo kwenye mazingira yake.
 
Back
Top Bottom