Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

Mimi nipo DSM -Ukonga-Markaz mtaa wa Kwa Temba

=====
Kama unahisi unatafutwa na hutaki kujulikana taja mtaa wa uongo ambao hata haukai huo.Huo huo mtaa mtaa wa uongo utampata jirani yako wa uongo

Umetumwa na wewe ukalibeba kama lilivyo,
Mwambie aliyekutuma kuwa kufahamiana kivihivi inatosha sana!
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom