Same here
Daaah ata mm sijui ni group gani maana kuumwa kwa mwaka maramoja sio kwa uwezo wangu bali Mungu tuTusiojua magroup yetu tutakuwa tuna kwama wapi
😁😁😁 mi yangu imeleft group lakeKwani damu nayo ina grupu...?
My mate
AB+
ndio nauliza.....😁😁😁 mi yangu imeleft group lake