Andengenye na Nassari

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,857
7,615
546877_390764877671075_669508382_n.jpg

Kamanda Andengenye alikuwa Serious au alikuwa anamtania Dogo janja?
 
Andegenye ni kati ya ma-RPC ambao ningependa wafe halaka sana...huyu ndiyo alishiriki kuua vijana wetu hapa Arusha kwa amri ya shemeji yake kikwete(Said Mwema)...
 
Andegenye ni kati ya ma-RPC ambao ningependa wafe halaka sana...huyu ndiyo alishiriki kuua vijana wetu hapa Arusha kwa amri ya shemeji yake kikwete(Said Mwema)...
Mkuu Crashwise huyu jamaa Andengenye alipelekwa Arusha purposely kwa shughuli zile
 
Last edited by a moderator:
Andegenye ni kati ya ma-RPC ambao ningependa wafe halaka sana...huyu ndiyo alishiriki kuua vijana wetu hapa Arusha kwa amri ya shemeji yake kikwete(Said Mwema)...

Mkuu ngoja nikupe taarifa.. Katika orodha ya RPCs ambao walikuwa hawatakiwi kuwepo sehemu zao za kazi ni pamoja na Kamanda Andengenye.. Alitengenezewa majungu kwamba kutofanya kwake lolote na kuwa mbele kuwapa vibali wapinzani kuendesha shughuli zao za kisiasa.. Hata huo mtafaruku uliotokea Arusha yeye Andengenya aliruhusu kufanyika kwa maandamano na mkutano ule pamoja na shinikizo na mikwala toka kwa makada wa ccm.. Baadae hao makada wakawaciliana na waziri pamoja na IGP.. Jioni IGP akatangaza kufuta maandamano.. Zengwe liliendelea mpaka alipotolewa pale.. Mlaumuni kwa mengine but ukweli ni Askari ambae alijaribu sana kufanya kazi zake kwa weledi..
 
Ocd wa mwanza ameamrishwa na mkuu wa wilaya awakamate wabunge wa mwanza haraka sana iwezekanavyo, inakuaje hapo? Yetu macho kwa polisiccm but ipo siku watawatambua kuwa wananch ndio mabos wao sio IGP
 
msisubiri mtu afe ndio apewe sifa kem kem ,andengenye is a perfect leader ,husoma alama za nyakati mapema ,pamoja na mizwengwe mingi kwenye kazi yake amejitahidi kuonyesha kuwa kampeni bila vuta nikivute inawezekana ,pongezi sana
 
Back
Top Bottom