Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,008
- 2,429
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Phoenix Archives is always off the chain mkuu. Thanks for sharing.
Funny I should see Judah Iscarioth.
Kuna kitabu walikuwa wanakizungumzia BBC leo, fiction, kina explore account ya maisha ya Yesu from Juda's perspective. Kwamba alikuwa anataka kumzuia Yesu kwa sababu Yesu alikuwa pretender and charlatan basically.
Shetani ndio baba wa uongo unategemea nini sasa?
Uongo wa uongo ni uongo au ukweli?
Usishangae, wengi wetu tumekuwa waoga kuzama na kuchambua imani zetu -- hasa pale tunapohisi zitaibua mambo ambayo ni trying kwa imani. St Augustine hakukosea kusema "If you don't believe (have faith), you won't understand"
Kwa wale ambao wameiona ile posting niliyotuma kuhusu AIDS,labda watapenda kufahamu zaidi kuhusu Sananda. Hizi habari zinatoka katika Phoenix Archives.
Mada nyingine bwana, yaani hata hazieleweki zinaongea juu ya nini. No wonder huwa zinaishia kuwa na wachangiaji wawili tu wanaojibizana wenyewe--kama kinachotokea kwenye hii hapa.
Sioni hoja ya kujenga hapa zaidi ya simulizi za kale zenye maslahi kwa watu fulani fulani,sijui hoja hii kama inasaidia ujenzi wa madarasa na umasikini wa watoto wa kitanzania au ndo dirisha la kupotezea muda.
Umesoma article nzima kama ilivyobandikwa hapo juu, au unarukia tu?
For starters, mind explaining just how "Phoenix Archives" is "always off the chain" as per your claim?
Kiranga The Renaissance Man :becky:
another silly stunt beating around the bush.
Mada nyingine bwana,
yaani hata hazieleweki zinaongea juu ya nini. No wonder huwa zinaishia
kuwa na wachangiaji wawili tu wanaojibizana wenyewe--kama kinachotokea
kwenye hii hapa.
Sioni hoja ya kujenga hapa
zaidi ya simulizi za kale zenye maslahi kwa watu fulani fulani,sijui
hoja hii kama inasaidia ujenzi wa madarasa na umasikini wa watoto wa
kitanzania au ndo dirisha la kupotezea muda.