Anayoyasema Jenerali Ulimwengu yalitakiwa yasemwe na Mzee Mwinyi (Rais Mstaafu) au Kikwete

MGOGOHALISI

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,984
2,586
Wale wahenga wenzangu mtakua mnakumbuka jinsi mwl Nyerere alivyokua anaita waandishi wa habari na kuongekea mambo mbalimbali yanayohusu nchi. Hili alilifanya hasa alipoona mamba yanaenda ndivyo sivyo.

Ninakumbuka alipokemea kuhusu kupuuzwa kwa katiba ya nchi kipindi cha uongozi wa mzee Mwinyi. Hii ilionyesha uwajibikaji kwa kiongozi mstaafu na iliwakumbusha walioko madarakani majukumu yao.

Kwa miaka ya karibuni hali hii imekua tofauti. Huwezi kusikia wastaafu waliopo kuzungumzia mambo au kukemea maovu yanapofanywa na walioko madarakani. Je ni woga, kupuuza au ni sehemu ya wale wanaofanya kinyume?
 
😁😁😁
1631782898_1631782897-picsay.jpg
 
Kwa miaka ya karibuni hali hii imekua tofauti. Huwezi kusikia wastaafu waliopo kuzungumzia mambo au kukemea maovu yanapofanywa na walioko madarakani. Je ni woga, kupuuza au ni sehemu ya wale wanaofanya kinyume?
Sababu kubwa ni uadilifu..
Kama mstaafu alikuwa na makandokando mengi akiwa madarakani, anahitaji fadhila ya kulindwa na aliyepo madarakani. So, hawezi kuthubutu kukosoa.

Hayati jiwe alionya mstaafu fulani aliyejaribu kukosoa kuwa asiwashwewashwe. Mstaafu akatii
 
Sindomaana na yy amepigwa dongo ni miongoni mwa wanaokaa kimya kuyasemea maovu ama Kwa uwoga au kujipendekeza Kwa maslahi binafc na tumekuwa tunaona hili hata kipindi kilichopita.
 
Kulindana pia ni sababu mojawapo, kwasababu wengine huwa na uchafu wao hivyo huamua kukaa kimya kwa uoga wasije "kuvuliwa" nguo, ila wengine hukaa kimya ili kulinda interest zao ili vizazi vyao viendelee kubaki kwenye system.
 
Wale wahenga wenzangu mtakua mnakumbuka jinsi mwl Nyerere alivyokua anaita waandishi wa habari na kuongekea mambo mbalimbali yanayohusu nchi. Hili alilifanya hasa alipoona mamba yanaenda ndivyo sivyo.
Ninakumbuka alipokemea kuhusu kupuuzwa kwa katiba ya nchi kipindi cha uongozi wa mzee Mwinyi. Hii ilionyesha uwajibikaji kwa kiongozi mstaafu na iliwakumbusha walioko madarakani majukumu yao.

Kwa miaka ya karibuni hali hii imekua tofauti. Huwezi kusikia wastaafu waliopo kuzungumzia mambo au kukemea maovu yanapofanywa na walioko madarakani. Je ni woga, kupuuza au ni sehemu ya wale wanaofanya kinyume?
Jamaa alikua bandidu sana,wakat kashika mpini wote waliomkosoa au kwenda kinyume na mtazamo wake walihenyeshwa lkn baada ya kukaa pemben akawa ndio masta wa kukosoa
 
Wale wahenga wenzangu mtakua mnakumbuka jinsi mwl Nyerere alivyokua anaita waandishi wa habari na kuongekea mambo mbalimbali yanayohusu nchi. Hili alilifanya hasa alipoona mamba yanaenda ndivyo sivyo.
Ninakumbuka alipokemea kuhusu kupuuzwa kwa katiba ya nchi kipindi cha uongozi wa mzee Mwinyi. Hii ilionyesha uwajibikaji kwa kiongozi mstaafu na iliwakumbusha walioko madarakani majukumu yao.

Kwa miaka ya karibuni hali hii imekua tofauti. Huwezi kusikia wastaafu waliopo kuzungumzia mambo au kukemea maovu yanapofanywa na walioko madarakani. Je ni woga, kupuuza au ni sehemu ya wale wanaofanya kinyume?
Jk alijitokeza kuonya kipindi cha jpm na kutishwa na ali hepi uwenda kipindi hicho ulikuwa burundi
 
Wale wahenga wenzangu mtakua mnakumbuka jinsi mwl Nyerere alivyokua anaita waandishi wa habari na kuongekea mambo mbalimbali yanayohusu nchi. Hili alilifanya hasa alipoona mamba yanaenda ndivyo sivyo.
Ninakumbuka alipokemea kuhusu kupuuzwa kwa katiba ya nchi kipindi cha uongozi wa mzee Mwinyi. Hii ilionyesha uwajibikaji kwa kiongozi mstaafu na iliwakumbusha walioko madarakani majukumu yao.

Kwa miaka ya karibuni hali hii imekua tofauti. Huwezi kusikia wastaafu waliopo kuzungumzia mambo au kukemea maovu yanapofanywa na walioko madarakani. Je ni woga, kupuuza au ni sehemu ya wale wanaofanya kinyume?
Tatizo wanakaribishwa ndani ya sinia, Nyerere ilikuwa ngumu sana kumwingiza kingi na zawadi za gari ya birthday na hekalu la rais mstaafu......utaumbuka mapema sana, acha kabisa yule mzee.
 
Wale wahenga wenzangu mtakua mnakumbuka jinsi mwl Nyerere alivyokua anaita waandishi wa habari na kuongekea mambo mbalimbali yanayohusu nchi. Hili alilifanya hasa alipoona mamba yanaenda ndivyo sivyo.
Ninakumbuka alipokemea kuhusu kupuuzwa kwa katiba ya nchi kipindi cha uongozi wa mzee Mwinyi. Hii ilionyesha uwajibikaji kwa kiongozi mstaafu na iliwakumbusha walioko madarakani majukumu yao.

Kwa miaka ya karibuni hali hii imekua tofauti. Huwezi kusikia wastaafu waliopo kuzungumzia mambo au kukemea maovu yanapofanywa na walioko madarakani. Je ni woga, kupuuza au ni sehemu ya wale wanaofanya kinyume?
Mwinyi mzee wa maslahi tu. Alisema kwa kumsifia Jiwe ili mwanaye apewe urais
 
Back
Top Bottom