Anayeweza kutabiri Rais Samia atakakotupeleka kuanzia 2025-2030 wasome uzi huu

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,797
21,392
Mwaka 2025 mama Samia atatimiza miaka 65 hadi mwaka 2030 Akiwa madarakani atakuwa na umri wa miaka 70.

Mtanzania mwenye kuweza kutambia kipindi Samia Akiwa na umri wa miaka 70 anatupeka wapi atuambie mapema Ili wengi tukatafute maisha kwa Moi kuangalia mapema
 
Eti

USSR
 
Nafikiri kwa heading yako hata wewe utakuwa hata chembechembe ya kwamba ulikuwepo duniani hazionekani, miaka 1000 ijayo wewe utakuwa wapi ndugu peno!!

Mwacheni mama apige kazi! Ukifika wakati wake ataachia ngazi mwingine atachukua usukani!!
 
images (27).jpeg
 
Nchi itakuwa imekosa sehemu ya kuweka lami, barabara zote zitakuwa safi, mashule yatajaa Kila mahali, nchi itapaa kiuchumi kama imefungwa maroketi
 
Robo tatu ya wananchi watakua wanashindia chai ya rangi bila sukari.

Tunaita chai bubu.
 
Back
Top Bottom