Anayeweza kuniunganisha na NGO's inayohusika na watu wenye VVU

Woman 949

Member
Apr 21, 2020
11
11
Wapendwa mimi ni dada ninayeishi na virus vya UKIMWI na ninapenda kufanya kazi na taasisi zinazohusiana na mambo ya UKIMWI, nawaomba sana mtu yoyote anayezijua hizi taasisi aniunganishe nina elimu ya chuo nimesomea sociology.

Naomba msaada wenu
 
Good and well ...kwa kukusaidia tu nenda Hospital yeyote kubwa apa Inchini( Haswa za serikal) Ongea na incharge vizur kabisa kwa kujitolea kufanya kazi na watu wa CTC katika idara ya Cancelling...kiufupi connection za NGO's utazipata uko .. easy Sana....all the best Mdada..
 
Njoo pm
 
Asante sana
 
Kazi kama hizi zinatoka sana USAID, Red Cross au UN. Weka utaratibu wa kuangalia kwenye job search zao. Vigezo vyao vya elimu kwa kazi nyingi ni Master’s degree.
 
Nakushukuru sana kama una watu naomba ni connect japo mimi nina degree

Back
Top Bottom