Niko na A21s hatarii
Hii yote imeanza na simu za mchina
Anayewatengenezea kampuni ya samsung battery za A series , ni kiboko, ameweza sana simu zinakaa chaji.balaaa,.sijui iphone anakwama wapi
Ufafanuzi zaidi?Simu z majaribio hizo.. hawata zitoa tena
Sim kaliii
wataua balaaAliyewatengenezea battery iphone wamkodishe