Anayeutaka urais SMZ akana kuua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anayeutaka urais SMZ akana kuua

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ochu, Mar 12, 2009.

 1. Ochu

  Ochu JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2009
  Joined: May 13, 2008
  Messages: 972
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  siku za nyuma nibahatika kutembelea magereza ya Zanzibar....na moja ya historia kwa nini magereza zanzibar inaitwa chuo cah mafunzo ilikuwa ni hii story hapa juu. ni kwamba baada ya mtoto huyu wa karume kuua baba yake alimpeleka gerezani ili kumfunza adabu kwa muda na toka wakati huo magereza zanzibar yakawa yanitwa chuo cha mafunzo. je, historia hii inatoposha au ally karume anasema uongo? nisaidieni wadau
   
  Last edited: Mar 17, 2009
 2. Elusive

  Elusive JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2009
  Joined: Nov 26, 2008
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa wanaoelewa story hii miaka ya sabiini watueleweshe kwa kirefu, kama kweli ilitokea au siyo kweli.
   
 3. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kama kweli aliua, na baba yake akampeleka Magereza kumfunza adabu, badala ya kuachiwa vyombo vya dola kufanya kazi zake itakuwa ni jambo la ajabu na aibu kubwa. Yani tuna Balozi ambaye aliwahi kuua, na aliwahi kutaka awe mgombea wa Rais Zanzibar, na bado anataka kugombea tena urais Zanzibar mwakani. Lakini yawezekana ni mambo ya kuchafuana kuelekea uchaguzi. Muda na subira vitatupa ukweli.
   
 4. S

  Sahiba JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  They do have blood on their hands True.

  SAHIBA.
   
 5. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  OOh! na nani mwingine?
   
 6. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2009
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Huyu mjinga, mbinafsi na mtumiaji mbaya wa fedha za umma, hawezi kuongoza watu 7 pale ubalozi wa Italia atawezaje kuongoza watu 1000,000 huko visiwani?

  Labda kama huko Zanzibar watu hakuna basi ndadhani huyu atafaa kuongoza. Vinginevyo hana nafasi.

  yey kupelekwa ubalozini anaona ni sifa na heshima kubwa alopewa kitaifa.
  Kapelekwa huko Ubalozini ili kumuweka mbali na Zanzibar kwa vile ni mtu asiyeweza fanya kazi na mtu yeyote. Kungekuwa na sehemu nyingine ya kumpeleka akafanye kazi pekee yake na mkewe wasingesita kumpeleka huko.

  Wako watu wengi wanaplekwa ubalozini kama namna ya kuepusha shari huko nyumbani MH huyu yumo kwenye list hiyo.

  MH Balozi jiandae kufia ughaibuni hicho kiti kina mimba usije vimba makalio bure!
   
 7. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Hii stori bwana si uzush ni kweli kabisa na jamaaa wa huyu mschana alyeuliwa mpaka leo wapo, na bwana mdogo amekuwa akin'gan'ganizwa kuwa baloz kukumbizwa washkaji wasje kulipiza kisasi, na ndo maana bwa mdogo akikanyaga zenj, chu! hafiki wiki anatimua, mchezo na roho ya mtu wewe! jamaa bado wanamtaka, kama atashkilia kubisha asubiri hiyo siku atakayo chukua fomu ya kugombea halafu apite, ya dakta salim salim na uhizbu yatakuwa madogo....watu hawajasahau na wanamachungu naye bwana .........!
   
 8. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  halafu wacha nishangae hichi kiti cha urais zanzibar kinaanza ku"sultanishwa" na wa karume! maana leo kama braza ally anajidai kuwa anatumia haki yake ya kidemokrasia sawa kama watu wengine sawa kesho atakuja ahmed karume, halafu aje fatuma na mama shadya na bango la "zamu ya akina mama", kwa hiyo kwa miaka kama 50 hivi,kama vile sultani, iwe zanzibar imetawaliwa na ukoo wa karume tu,he!? Hapa tena ule ubashiri wa kinabii alioutoa mzee karume mwenyewe enzi zake utimie kuwa hapatakuwa na uchaguzi wa vyama vingi zanzibar mpaka baada ya miaka 50.
   
 9. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  kwanza napata kichef chef nikiskia jina la this blood stained hand man, likitajwa stop it..........
   
 10. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2009
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Mtaacha lini kuchafuana jamani, lakini nilibashiri mapema kuwa hii ya kujitangaza mapema inakupa fursa ya kuwafahamu adui zako wote na mipango yao. Balozi Karume, wasaa ndio huu wa kuonyesha kifua chako ni kikomavu.

  Binafsi ninakukubali kwa kiti hicho 2010 na 2015 JMT
   
 11. Black Jesus

  Black Jesus JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2009
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 254
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa Dini zote za Mmungu alizozoleta katika ulimwengu huu na vitabu vyake Balozi karume aliuwa msichana baada ya kumbaka na kumfanyia matendo machafu ushahidi upo wa kutosha Moja kati ya sababu za kufungiwa gazeti la DIRA ni kupigania haki kwa wazee wa msichana yule na kuanika maovu ya Balozi karume ndio ikafanywa kila hila likafungwa zile nakala bado zipo naimani kuna baadhi ya watu walizihifadhi inaonesha jinsi vipi alivyo mrepu yule msichana na hatma yake kutowa bastola na kumuuwa kupelekwa ubalozini ni kumuondowa katika macho ya jamii ili yasahaulike maovu yake waliopelekwa ubalozi mnamo miaka ya 70-80 kutoka zanzibar baadhi yao ni miongoni mwao ni wale walikuwa wakitesa watu magerezani au waliokuwa wakiuwa kwa amri ya serekali kuna mmoja sio miaka mingi amekuwa kule Uk wakataka wampeleke Denmark lakini serekali ya Denmark ikapewa profile yale na wao wakasema msitulete kiumbe huyo siju alirejeshwa Tz(zanzibar)au vipi (ADHABU YA KABURI AIJUWAE MAITI)
   
 12. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Na makabati yaendelee kufunuliwa ili siri zaidi zijulikane
   
 13. Ochu

  Ochu JF-Expert Member

  #13
  Mar 16, 2009
  Joined: May 13, 2008
  Messages: 972
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  si kuchafuana bali historia inamhukumu...na wewe tafuta sababu ya magereza znz kuitwa chuo cha mafunzo!!! tunatafuta ukweli tu hapa per his credibility
   
  Last edited: Mar 17, 2009
 14. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #14
  Mar 16, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  hapo juu ni Mafunzo.
  Na sababu ya kuwa na Jeshi la Kujenga Uchumi(JKU) ilikuwa ni nini?
   
 15. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #15
  Mar 17, 2009
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Nadhani anataka kuwa mjinga wa kuzidi kipimo. Hiyo siyo hadithi, ni ukweli wa maisha yake. Alibaka na kuua na ndiyo sababu ya kukimbilia nje hata ktk maisha ya shule yake alikaa sana Malawi.

  Ni bora amejitokeza na hayoyote yakaibuka tena.
   
Loading...