Anayetumia pafyumu/manukato romantic inayobamba watu anitonye shemej yenu ameniagiza nimpelekee kuruthumu tu

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
726
471
Nahitaji kujua pafyumu zingine zinazoizidi ubora na uromantic wa hii kuruthumu.

Binafsi siifahamu sijawahi kutumia naomba uzoefu toka kwenu wazee wa baraza.
 
Perfume ya Secret ni nzuri kwa sisi wa maisha ya chini au senorita amour nayo pia ni nzuri sana
 
Njoo watsapp kwa simu namba 0672416294 nikuonyeshe perfumes Original kabisa kwa bei nafuu... Zipo za jinsia zote mbili, karibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom