Anayetumia pafyumu romantic inayobamba watu anitonye shemej yenu ameniagiza nimpelekee kuruthumu tu

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
635
500
Nahitaj kujua pafyumu zingine zinazoizidi ubora na uromantic wa hii kuruthumu binafsi siifahamu sijawah kutumia naomba uzofu toka kwenu wazee wa baraza
 

Qurie

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
3,340
2,000
Perfume ya Secret ni nzuri kwa sisi wa maisha ya chini au senorita amour nayo pia ni nzuri sana
 

ms_mimi

Member
Jun 23, 2017
94
250
Njoo watsapp kwa simu namba 0672416294 nikuonyeshe perfumes Original kabisa kwa bei nafuu... Zipo za jinsia zote mbili, karibu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom