Anayetumaliza wa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anayetumaliza wa Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NATA, Jun 28, 2011.

 1. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ni huyu adui justification,kujustify kila kitu Tanzania kila mtu anajustify anacho fanya. Kuanzia muhudumu hadi boss mkubwa, umeenda hotel unaletewa chakula kimeungulia unaambulia samahani na kula tu kwani ni hasara kwa mwenye hotel usipo kula au owner atampa adhabu mpishi so kula kuokoa jahazi.

  Unakula pesa za kijiji zinaliwa mtumishi anahamishiwa kijiji kingine so imeisha, umeme hakuna simple simple tu mtu anachemkachemka juu la tatizo na anajustify visababu vyake na waTZ kimya WaTZ tunarizika na justification za mambo mbalimbali bila kuyachukulia hatua muhimu au kuyakemea na kuyatafutia ufumbuzi wakudumu ili kuyakomesha kabisa.
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mtu akituhumiwa fisadi unaambiwa mnamuonea wivu na yeye anatangaza ni wivu unawasumbua kwa vile yeye kapata.
  WaTZ tumeleogwa nanani
   
Loading...