Anayetuhumiwa kumwua Mwangosi: PACIFIUS CLEOPHACE SIMON hajasoma sekondary?

Alikuwa class mate wangu Janjajanja Pr. School, baada ya hapo sijui alikwenda shule gani ya upili lakini alipass

lakin wewe google unapatikana,yeye hapatikani?may be alikuwa kwenye special task..thats why his files are classified...
 
kweli jf vilaza ni wengi matokeo ya necta 2005 kurudi nyuma nani kakuambia yalikuwa yanawekwa net?

matokeo yameanza kuwekwa intake ya form 4 mwaka 2004,wewe nahisi ulikuwa bado hujaja mjini ndo maana huelewi,ila tunaweza tusione jina kama huyu jamaa alimaliza mwaka 2006 sababu waliandika candidate number
 
Tangu nilipomuona huyo mtuhumiwa anapelekwa mahakamani chini ya ulinzi mkali tena amefunikwa sura,alarm ililia kwenye akili yangu kuwa tayari watanzania tena tunauziwa mbuzi kwenye gunia,wamechukua mfungwa aliyefungwa maisha kwenye gereza mojawapo na kumpeleka mahakamani.mtuhumiwa wa mauaji anapelekwa na shangingi mahakamani!!!
 
siwezi shangaa kwa hilo manake kuna mtoto mmoja wa Kamishina Chagonja ni darasa la saba na baada ya kumaliza mafunzo CCP_MOSHi depo ya 2004-2005 alipangiwa FFU-mbeya,basi siku babake alipoteuliwa kuwa kamishina naye akaamishiwa dar wiki moja tu baada ya kuapishwa.FFu-mbeya wanaijua vizuri saana hii ishu.Na kuna mwanaye mwingine ni askari anaitwa Musa yeye tangia aende DARFUL ana miaka kama 6 hivi wakati wengine wakijitahidi sana miaka 2 na kibaya zaidi vyeo yeye vinapanda akiwa hukohuko DArful na mpaka sasa ana cheo cha ASP kama sijakosea.
 
PACIFIUS CLEOPHACE SIMON Hakuna jina kama hilo kwa watanzania walio wengi, majina yakiwa matatu, utakutana la kienyeji duh! hii ni kali that why alifunikwa sura

Huenda ni wale wateule kutoka green special man wa Nape na Mchemba alichomolewa huko na kuchomekwa ndani ya FFU kwa shughuli maalum, maana anaonekana kutosikia hata katazo la OCD wake, askari wa kawaida mwenye kufapata mafunzo stahiki katu hawezi kulenga silaha mazingira ya kuhatarisha wenzake na kamanda wake. Hapa ni usanii tupu, kuna mengi yanayofunikwa funikwa mwanaharamu apite.
 
Back
Top Bottom