Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,086
- 4,879
Wadau najua kuwa Miradi yote ya Serikali Fedha zake hupitishwa na Bunge baada ya Wizara husika kuomba na kutengewa Bajeti.
Unapofika Muda wa Utekelezaji Fedha hutolewa na Wizara husika kama Bunge lilivyopitisha.
Kinachonishangaza ni hii AWAMU ya 5.
Sijawahi kusikia Kuwa SERIKALI imetoa Fedha kwa Ajili ya MRADI FULANI Badala yake Nasikia RAIS AMETOA FEDHA kwanini Isiwe SERIKALI?
Mbona Awamu Zilizopita Haikuwa hivyo au Fedha ni za RAIS na sio za SERIKALI?