Anayetaka nimpe kisimbuzi cha Azam anipe cha Ting

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,830
4,727
Kama unatumia kisimbuzi cha Ting (kinachotumia dish), ukipenda tunaweza kubadilishana nikupe cha Azam. Ahsante na karibu.
 
Duu ni sawa na kutaka kubadilishana na mfungwa eti yeye akupe pilau wewe umpe ugali......azam bomba kwa kweli
 
Back
Top Bottom