Anayetaka jua Kapangiwa chuo gani ani PM

hebu naomba niangalizie Kilian Ndomba, ndanda hgh skull 2011.
 
Msilete utani kwenye mtandao wa maana kama huu na wenye wanazuoni wengi jitahidi kuweka taarifa za kweli acheni utapeli, Rai yangu kwa applicants wa TCU wote subirini mpaka website itoe majina acheni na hizi shortcuts.
 
Kweli nyie vimeo nawambia Matokeo nnayo kwenye soft copy hamtaki pwa subiri TCU
 
Back
Top Bottom