Anayesimamia stendi ya mabasi ya Makumbusho ajiuzulu

mikedean

JF-Expert Member
Mar 15, 2018
3,255
4,599
Hii stendi miundombinu yake ni mbovu sana liwake jua au mvua inyeshe. Manispaa ya Kinondoni inazingua sana. Ifanye maboresho ya haraka pale stendi kwa kurekebisha vyoo na sakafu iliyo na mashimo isawazishwe vizuri.

Magari yanalipia ushuru 1000/= lakini bado hakuna maboresho yoyote miaka nenda rudi. Kama hamjui madereva wanataka kugoma kuingiza magari yao pale maana mnayaua matairi na spare mbalimbali.

Maendeleo hayana chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani stand ya Simu2000 ina hali gani ?
Huwa najiuliza sana hata sisi watumiaji wa vituo hivyo tuna matatizo sana. Inatakiwa basi likitoka Mbezi abiria wagome kuingia simu2000. Pale makumbusho magari yanavunja sana spring na wamiliki wapo tu wanachekelea kugoma ni moja ya hatua ya kudai huduma bora.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii stendi miundombinu yake ni mbovu sana liwake jua au mvua inyeshe. Manispaa ya Kinondoni inazingua sana. Ifanye maboresho ya haraka pale stendi kwa kurekebisha vyoo na sakafu iliyo na mashimo isawazishwe vizuri.

Magari yaalipia ushuru 1000/= lakini bado hakuna maboresho yoyote miaka nenda rudi. Kama hamjui madereva wanataka kugoma kuingiza magari yao pale maana mnayaua matairi na spare mbalimbali.

Maendeleo hayana chama

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbaya zaidi wamewekewa trafic police aisee , madereva wasipoingia ndani ya stend tayari police wameshampa cheti , hata stend iwe Mbovu hawa mapolisi hua hawaelew kitu, ujinga ujinga tuuuu
Huwa najiuliza sana hata sisi watumiaji wa vituo hivyo tuna matatizo sana. Inatakiwa basi likitoka Mbezi abiria wagome kuingia simu2000. Pale makumbusho magari yanavunja sana spring na wamiliki wapo tu wanachekelea kugoma ni moja ya hatua ya kudai huduma bora.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa najiuliza sana hata sisi watumiaji wa vituo hivyo tuna matatizo sana. Inatakiwa basi likitoka Mbezi abiria wagome kuingia simu2000. Pale makumbusho magari yanavunja sana spring na wamiliki wapo tu wanachekelea kugoma ni moja ya hatua ya kudai huduma bora.

Sent using Jamii Forums mobile app
Simu 2000 unaijua au umechanganya na makumbusho.

Maana ni stend yakwanza kwa miundombinu.

Portfolio | 2020
 
October man
Yeye anaongela ile njia ya kuingilia. Au kwako ile njie iko vizuri tuu. Yaan njia ina makorongo na mabonde had basi na pale ndo wanapo haribu daladala za watu ni kakioande kadogo ila kusema wakashughulikie kwa kujaza kifusi na kusawazisha hakuna
Kile kipande ni kidogo sana lakini unashangaa hawana habari nacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom