Anayesema Yanga imeshuka anatumia moyo badala ya ubongo kufikiri

Simba
Vs Tabora wachezaji wa kigeni wa Tabora wamezuiwa kucheza
Vs Fountain gate hivyo hivyo wachezaji wa kigeni hawakuruhusiwa.
Vs Azam magoli mawili ya offside
Vs Yanga (Hamza alipaswa kula kadi nyekundu)
Vs Dodoma jiji ( penati ya mchongo)
Vs Prisons ( prisons wamenyimwa penati mbili)
simba vs tabora nani aliwazuia wachezaji wa kigeni wa tabora wasicheze? Na kwanini? Simba vs fountain gate nani aliwazuia wachezaji wa kigeni wa fountain wasicheze? Na kwanini? Na wachezaji hao ni nani na nani? Na ni wangapi?
 
Yanga ilishuka lini? Wakati wa pre-season ilichukua ubingwa wa mashindano ya ToYOTA, kwenye Yanga day ilishinda, kwenye ngao ya jamii ilishinda, kwenye ligi imeshinda mechi zote bila kufungwa na kwenye mashindano ya CAF imeingia hatua ya makundi. Yanga ilishuka kiwango lini?

Kilichotokea ni kwamba ni timu zetu zote kwenye ligi zimesajili, zinaendelea kusajili wachezaji na zinacheza ili kuepuka kufungwa goli 5 na Yanga baaasi.

Makocha, wachezaji na viongozi wa timu wanacheza ili kuepuka kufungwa magoli mengi na Yanga ili kulinda ajira zao.

Hii inasababisha wachezaji kukamia hata iibidi kuumia au kuwaumiza wachezaji wa Yanga, wachezaji wao wanacheza kwa tahadhari kubwa kupitiliza, viongozi wao wanafanya kila kitu kuzuia kufungwa.

Kila timu inaingia uwanjani kama timu ya pili mbele ya Yanga.

Hii ndiyo sababu Yanga haifungi magoli mengi kwenye ligi lakini inapata points. Anaesema Yanga imeshuka kiwango hayui alisemalo.
Umemaliza mkuu.
 
simba vs tabora nani aliwazuia wachezaji wa kigeni wa tabora wasicheze? Na kwanini? Simba vs fountain gate nani aliwazuia wachezaji wa kigeni wa fountain wasicheze? Na kwanini? Na wachezaji hao ni nani na nani? Na ni wangapi?
Makambo na wenzake wa kigeni. Na kwanini hizo timu zote mbili zicheze na Simba katika kipindi hicho kigumu kwao?
 
Ulijiandikisha lakini kijana???
Shida inayowapata wachambuzi wetu hawa wa hivihivi ni kuilinganisha matokeo Yanga vs Yanga yenyewe katika misimu 2 tofauti bila kulinganisha supporting backgrounds za misimu 2 iliyopita. Yanga kiwango hakijashuka ila timu za msimu huu zimeimarika zaidi kuliko timu za msimu uliopita; na Yanga imebadili mbinu zake uwanjani kwa kutunza nguvu (conserve energy) za wachezaji kwa kuacha kukimbia sana kwa dk 90 kutafuta magoli mengi kwenye mechi za mfululizo na muda mfupi baina ya mechi.
 
Watu hawajui soka,tena ukisikiliza makolo ambao amesha kua machizi utapoteaa. Ivi unaipimaje Timu ukaja na jibu kua imeshuka wakati wanamechi kama kumi pasipo kuruhusu goal lolote.

Watu wanashindwa kujua malengo ya Kila mechi ni tofauti,watu wanawaza Kila mechi wachezaji watumie Energy kubwa wakati ushindi uhakika. Ukitaka nielewa Yanga Bado wa Mote tena zaidi Ngojaa mechi zao za CL maana huko ndo Akili zao zinahitajika zaidi kuliko huku makolo wanagawa point 6 ,Tizama mechi zao na Vital na CBE zote zilisababisha balaa kubwa goal 6 mtu anakamuliwa fresh kabisa.
Wameanza kukuelewa baada ya mechi dhidi ya Singida kule Zanzibar. Yanga inawafundisha wachambuzi namna ya kuchambua mpira bila kutumia ushabiki wao wa timu.
 
hawakuwa na ITC zao kuruhusiwa kucheza mpira kwenye timu zao mpya.
huo ni uzembe wao fountain gate na tabora utd kukosa fedha za kuwalipia wachezaji wao vibali, sasa hapo tff kosa lao ni nini? sasa hapo simba kosa lake ni nini? Ulitaka tff au simba wawakopeshe hela au?
 
huo ni uzembe wao fountain gate na tabora utd kukosa fedha za kuwalipia wachezaji wao vibali, sasa hapo tff kosa lao ni nini? sasa hapo simba kosa lake ni nini? Ulitaka tff au simba wawakopeshe hela au?
Kosa la TFF ni kuzipangia timu mbili zenye shida ya wachezaj wao dhidi ya timu Moja TU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom