Anayepata matangazo ya BBC, DW au VOA atupe mrejesho

Kwa Mambo Magufuli aliyoyafanya haitaji kufanya kampeni 2020.

2020 imefika CCM wameingia upepo kulikoni Tena??

Siasa mmefanya wenyewe kwa miaka mitano mmejinadi Sana WoGa wa nini
Lissu anawatesa Sana.
Kwani kuna kipindi ambacho uvunjifu wa sheria na taratibu za nchi ni ruksa? eti wasitakiwe kufuata sheria, kanuni na taratibu za nchi kisa ni kuelekea kipindi cha uchaguzi?!!! Pathetic....
 
Wadau habari ya asubuhi,

Huwa kila asubuhi ninasikiliza redio washirika wanapojiunga na redio za nje kwaajili ya kupata habari lakini leo Agosti 20 sipati hata redio moja kurusha matangazo hayo.

Mwenye kupata matangazo naomba atoe mrejesho.
Wamenyimwa kibaki cha kurebroadcast
 
Ni moja ya mambo ya kipuuzi yanayomuharibia bro wangu kimataifa na kuanza kuonekana ni dikteta
 
Back
Top Bottom