Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,962
- 22,333
Kwahiyo unamuone huruma au ?? Au kuna kitu unataka kushauri??Nina wasiwasi na usalama wa Sabaya baada ya kusema aliyosema.
Kwahiyo unamuone huruma au ?? Au kuna kitu unataka kushauri??Nina wasiwasi na usalama wa Sabaya baada ya kusema aliyosema.
Una uhakika gani alitumwa? Hakutumwa ndio maana kalipuliwaMaisha ni harakati, na unapopewa kazi ya ujasusi ama kijeshi unapaswa kuhakikishiwa usalama wako na usalama wa taarifa zako. Serikali ya Samia ilipaswa kumlinda Sabaya na kuhakikisha hafiki mbele ya mahakama za kiraia. TISS fanyeni kazi yenu acheni kutumikishwa na wanasiasa, mlishindwa nini kunusa side effects?
Haya yangeangaliwa katika mahakama za kijeshi na mamlak ya uteuziUna uhakika hayo aliyoyafanya ndio kweli alitumwa akafanye?
Tatizo ni siasa ndani ya kazi zisizohitaji siasaMaisha ni harakati, na unapopewa kazi ya ujasusi ama kijeshi unapaswa kuhakikishiwa usalama wako na usalama wa taarifa zako. Serikali ya Samia ilipaswa kumlinda Sabaya na kuhakikisha hafiki mbele ya mahakama za kiraia. TISS fanyeni kazi yenu acheni kutumikishwa na wanasiasa, mlishindwa nini kunusa side effects?
Amuulize Mbowe,Sasa ndiyo anajua kumbe hata Rais akiwa Mwana Mama nguvu ya Rais ni ileile!!Unafahamu nguvu ya Rais nchi hii wewe? ama unaropoka tu. By the way SABAYA hakukamatwa na maadui wa nje waliomkamata ni walewale waliomtuma we ulitaka ajitete vipi?
Kwani aliyekuwa anafunga Maduka ya kubadilisha fedha ni aerkali au sio?Kwahiyo ulitaka TISS wamlinde huyo mhalifu? unataka kusema na Tisss washiriki? Hopeless kweli wewe. TISS ni mali ya yaifa la tanzania sio wahuni wachache
Sasa unategemea nini kama mkurugenzi ni Diwani ambaye ni zezeta tu halijui nini linafanya hapoTiss hii ni aibu yao mnapokuwa na idara inayolinda maovu mengi ya kiongozi mkuu ni hatari kwa wananchi, leo hii tunaona wananchi wanalalamika kuporwa haki zao huku kukiwa na mkono na baraka za usalama wa taifa na tasisi ya uraisi, Idara ya usalama pia inahitaji mabadiliko makubwa ili kuwa na maslahi mapana Kwa ajili ya nchi na wananchi na si viongozi kama rais, makamu au wazuri mkuu tu