Anayepajua Mpanda mjini vizuri anielekeze

mambali

Senior Member
Oct 16, 2012
172
64
Jamanii nipo Mpanda mjini yaani Mkoani Katavi.

Lakini sioni sehemu nzuri palipochangamka ambako kuna nyama choma na wasichana wazuri wa kuhudumia naomba nwenyeji anielekeze anayepajua.
 
MkuU mINaPajUa VizuRi huKo.neNda Stend Pale haLafu
NeNdq KuShoTo haLafukAtQ kuLia mAeNeO yA mAdUka MeNgi Pale.UUliZia MaMbaLi pUb UtqeLekezwa SeheMunZurivya nYama chOma na firigisi ila mUda huu bado Labda jiOni ndo UtapatA nyama na firigisooo.
 
hyo mbona ni pub yangu ipo dar sinza usilete utani small pdidy
 
Mkuu mambali hiv ID yako iwma uhusiano wowote na sehemu inaitwa mambali mkoani tabora?
 
Mkuu mambali hiv ID yako iwma uhusiano wowote na sehemu inaitwa mambali mkoani tabora?

hapana mkuu sipafahamu hapo ila wewe sio wa kwanza kuniuliza humu jamvini ila napasikia hapo sehemu
 
Back
Top Bottom