Anayenunua shahada hawezi kuona aibu kuuza haki

Apr 27, 2006
26,588
10,374
WANANCHI wametakiwa siku ya kupiga kura kuwa macho na watu wanaoweza kwenda kuwanunua kwa kuwagawia fedha wabadilishe msimamo wao.

“Siku ya kupiga kura, kuna watu wanaweza kupita na kutoa fedha… ukiona mtu ananunua shahada, anatumia fedha kukununua, hataona aibu kukuuza, kwa maana ya kuuza haki yako ya maendeleo,”

"MSISITIZO WANANCHI KUWENI MAKINI KWAMTU ANAE NUNUA SHAHADA NA HAONI AIBU KUUZA HAKI"

Mi mbona hawanifuati? kwani Shahada yangu sikuchukua ili kupanga foleni kupiga Kura anayetaka serious anaweza kuitumia kwani mgombea wangu alikuwa Dr. Slaa tu wengine usanii m tupu sioni wa kunitoa nyumbani eti kupanga foleni ptuuuuu
 
Jaman ka kuna mtu anafanya io biashara ya kununua kura anitafte na mimi
 
Mi mbona hawanifuati? kwani Shahada yangu sikuchukua ili kupanga foleni kupiga Kura anayetaka serious anaweza kuitumia kwani mgombea wangu alikuwa Dr. Slaa tu wengine usanii m tupu sioni wa kunitoa nyumbani eti kupanga foleni ptuuuuu

na wewe msanii tu! nenda kapigie nyumbani kwa dr slaa!
 
Back
Top Bottom