Anayejua zinapouzwa hizi "manual blender" za kusagia juisi

Fundi_Mjasiriamali

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
748
1,329
habarini wanajamvi!? naulizia ni wapi wanapouza hizi manual heavy duty blender( brenda) ambayo haitumii umeme kama hiyo hapo pichani.

Achana na hivi vidogo vidogo vinavyouzwa na wamachinga, nahitaji kubwa kama hiyo kwenye picha kwaajili ya shughuli zangu za kuuza juisi kwenye mkokoteni wangu mdogo, ambao nazunguka nao mtaani.

Naombeni msaada wenu wandugu.

IMG_20210627_115333.JPG
 
Ukikosa hiyo nunua alluminium hand blender ni ndogo ila unaweza kubadili biashara ya kuuza hizo juice za kuchanganya na maji na sukari ukawa unakamua juice pure palepale mteja anapotaka kunywa na ikachangia kuuza matunda mengi.
 
Back
Top Bottom