Anayejua walipo hawa watu please

Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,045
Wanajanvi msaada wenu unaitajika,mwenye contact na hawa watu 1.Betson Gosbert aka mwalimu huyu ni ndugu yangu ila tumepotezana naye wakati anamaliza UDSM
2.Veronica James Temu nina cheti chake birth certificate aliisahau kwenye kitabu changu plz msaadaa
 
Mmmh hiyo namba mbili mkuu inatia mashaka sana!

Wanajanvi msaada wenu unaitajika,mwenye contact na hawa watu 1.Betson Gosbert aka mwalimu huyu ni ndugu yangu ila tumepotezana naye wakati anamaliza UDSM
2.Veronica James Temu nina cheti chake birth certificate aliisahau kwenye kitabu changu plz msaadaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom