Anayejua ubora wa simu aina ya Vivo

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,895
22,659
Naona watu wanazikimbilia sana na wameanza kunishawishi nijaribu ila vipi ubora wake.

Chaji
Camera
Storage
Vifaa in case ikitokea imeharibika

USSR
 
Vivo ni kampuni kubwa sana. Ni sawa na ukasema ubora wa simu aina ya Samsung.

Ni vema ukataja model ya hiyo simu.
800px-Vivo_logo_2019.svg.png

Ila vivo ni kampuni la kichina wanaotengeneza simu sana sana mid-rangers (simu za low end users).

Simu yao recent kabisa walioitangaza huu mwezi wa tatu ni vivo S9 ambayo bei yake ni kama laki 8 hivi.

vivo-s9-1.jpg

Ni nzuri ila wanatumia SoC za MediaTek so usijesema zinafananaje na iPhones, Samsungs au brand zingine kubwa. Ila ni chaguo zuri kwa low budget.

Ukitaka kuziona simu zao zote walizowahi toa bonyeza HAPA.
 
Vivo simu nzuri sana warranty miaka 2 charge inadumu siku mbili bila ukakasi
 
Embu niipigie chapuo.

Ni simu bora kwa wale wa low budget wanaotaka better performance.
 
Naona watu wanazikimbilia sana na wameanza kunishawishi nijaribu ila vipi ubora wake.

Chaji
Camera
Storage
Vifaa in case ikitokea imeharibika

USSR
Sababu wapo official vifaa navyo vitakuepo,

Na kama wadau juu walivyokujibu vivo zipo nyingi Sana.

Kuwa makini simu nyingi za Vivo ni kama OPPO, nzuri zipo Mtandaoni Dukani wanajaza vimeo.

Hakikisha simu unayotaka kununua unaigoogle kwanza ama leta humu wadau watakusaidia.
 
Simu inayotumia SOC ya mtk siielewi kabisa , na sitaki niitumie maishani mwangu tena now nipo na SOC ya Qualcomm ni raha sana tangia mwaka 2018 mwezi wa 11 mpaka leo 2021 mwezi wa 3 sijawahi kurestore simu yangu wala kupata changamoto kuhusiana na simu yangu ..
Pia nilinunua ikiwa used ila ni chuma sijapata kuona..

Karibuni Oppo Brand Bora .
Screenshot_2021-03-09-11-56-28-05.jpg
 
Naona mabango ya vivo x60 viwanjani Euro 2020
Nimeipenda vivo v21 iko vizuri muonekano tatizo be
 
Back
Top Bottom