Anayejua Tiba Mbadala ya Amoeba Tafadhali Anijuze

Dawa ya Tiba Mbadala ya Maradhi Amoeba,pata Majani 7 ya mpera uyaoshe vizuri kwa maji uwe unayatafuna mdomoni mate uwe unameza usile tu hayo majani uwe unayatafuna kisha maji yake yakitoka hapo mdomoni uwe uameza fanya hivyo kila siku asubuhi na jioni ukisha fanya hivyo yateme hayo majani kisha ,usile kitu baada ya dakika 20 waweza kunywa maji ya kawaida tumia hiyo dawa kwa muda wa wiki moja kisha uje hapa unipe feedback.@Gosbertgoodluck

What are the herbal treatments of amoeba?

Take the new sprouted leaf of a Guava (leaf) in a guava tree of course.5-7 pieces may do. wash it with water. And chew it thoroughly inside your mouth until crushed.the taste may be bitter but the purpose of chewing is to extract the fluid inside the guava leaves.swallow the fluid with your saliva (do not spit out) if guava leaf if totally crushed. swallow it, swallow the crushed leaf that u just chewed. Do not drink any liquid yet. Let it be digested for 10-15 mins. after then you can then drink water or any re hydrating liquid.
Hope this herbal treatment of mine may help you.
93408475.tUSpphB5.20080224_guava_7663f.jpg

guava%20gallery%202%20copy.JPG
 
Mkuu MziziMkavu,

Mungu akubariki sana kwa maelezo hayo. Ngoja nijaribu then nitakuletea feedback.
 
Back
Top Bottom