Anayejua tatizo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anayejua tatizo

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by ney kush, Feb 24, 2012.

 1. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 996
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  Hey people..... Iphone yangu nikiingia youtube inaleta maneno (can not connect to utube) msaada tafadhali
   
 2. STimira

  STimira Senior Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  kama huna account you tube haiwezi kukubali. fungua account ya you tbe kupitia g-mail na usign in kwa iphone yako, then utafaidi kila kitu cha you tube kwa iphone. nadhani wataalam watafafanua zaidi!!!!
   
 3. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 996
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  Got ya bro n thanx
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 4,960
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180
  Sio kweli kwamba unahitaji account kuangalia video YouTube. Hakikisha una Internet kwenye simu yako, kama unayo basi kuna tatizo lengine, labda spidi ya net ndogo, jaribu kwenye wifi.
   
 5. d

  dav22 JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,905
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  sio lazima kuwa na account You tube ndo unaweza access..
   
 6. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 606
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  kama unafungua internet browser kawaida then ndiyo unaingia website ya youtube basi hapo haihitaji kuwa na account yoyote ila tu uhakikishe internet settings zako zipo sawa. But Kama unatumia ile application ya youtube unayoikuta ndani ya iphone yako basi nadhani lazima usign in kwa account ya google mail ndiyo unaweza pata access.
   
Loading...