Anayejua sehemu yoyote penye ujenzi wa barabara kwa sasa anistue. Mimi sijaona tangu awamu ya 6 iingie madarakani

Kiukweli ujenzi upo lakini sio ule wa enzi ya marehemu JPM. Jamaa wanalipua kiasi kuna lami nimeiona kinondoni manyanya mtaa wa Loliondo sijui daa ni mapuya tupu mpya halafu.

Sent from my Infinix X605 using JamiiForums mobile app
Nyege zimepanda kichwani, yaani ujenzi wa bajeti ya bil.200 ni sawa na ujenzi wa bajeti ya bil.900?

Shobo za mapambio ndio hazipo saizi ila kila sekta iko moto.
 
Nina mashaka na hii.mwendokasi inaweza ikaisha 2027. Binafsi kwa jinsi navyoona uendeshaji wa BRT ulivofeli vibaya ninashauri zingejengwa barabara nyingi tuu lakini sio mwendokasi tena .

Sent from my Infinix X605 using JamiiForums mobile app
Sijui unachoongea wewe kina uhalisia kiasi gani.Chini ya Samia mwendokasi wameongeza fleet ya mabasi na wameongeza makusanyo 👇

Screenshot_20220127-203515.png
 
tunataka inayojengwa sio iliyoko kwenye mipango. Kwa tz mipango kibao
Kuna barabara serious inajengwa ndani ya miezi 8? Na unataka barabara zijengwe bila mipango. Last week Analysis imetangazwa ya Kibaha to Chalinze highway. Acheni kumuonea Samia bila sababu za msingi.
 
Back
Top Bottom