mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 6,954
- 9,856
Mkuu,Duh pole mtoto wa marehemu !
Yani Mataga yalizoea kuhudumiwa na mwendazake,
Kumbuka msiba wa masikini huwa hauishi.
Mkuu,Duh pole mtoto wa marehemu !
Kama kipind cha hayati mlivokua mna praise na ku worship all day 🤣🤣 hata kama alikua wrong, slogan ni praise and worship. Na bado mtanyooka tu, shubaaamiiit!!kiongozi aliyefeli yeye na wafuasi wake huwa hawajiamini yaani ukiandika ujumbe hata hauwahusu wao na kiongozi wao wanakuja juu kukushambulia
kiongozi aliyefeli unaweza kumwambia kuwa umetishaa na akafurahi na akajiona kweli yuko matawi hata siku kama ana mwezi mmoja madarakani
kiongozi wa namna hii na wafuasi wake huishia kuaibika kupoteza mvuto na kuleta mateso na manyanyaso kwa wananchi wako
🤣🤣🤣 Mtanyooka tu, shubaaamiiit!!Nanyie nyumbu muwe na akili hata kidogo, wapi mleta mada alipomtaja huyo dead men.
Acheni kujishtukia inaonyesha mnapambana kuuwa legacy lakini kila mkilala mnajisemea wenyewa hakika jamaa alikuwa kiongozi shupavu asieyumba na wamfano Africa.
Ukweli utawatesa maishayenuyote.
Ametumia uhuru wake wa kujieleza.Mkuu lengo lako hasa nini, mbn kama umetumwa uvuruge chama na serikali kwa ujumla? Ulianza na JK na familia yake, leo umehamia kwa mama, kesho hatujui utarukia kwa nani na kwa masilahi ya nani na pia unapata faida gani!!
Waliozoea vya kunyongwa, vya kuchinja imekuwa shida kwao.Mleta mada unateseka ukiwa wapi?
Magufuli is dead and not coming back
Live with it!
😂😂😂 mtanyooka nyinyi mnao pambana na marehemu, aliewaita nyumbu aliona mbali sana, yani mnaanzaje kutumia nguvu kupambana na mtu alie kufa.🤣🤣🤣 Mtanyooka tu, shubaaamiiit!!
Nchi ilishakuwa kama chimbo la wanyang'anyi na madhalimu...wakati wapinzani wanaonewa kwa kudhulumiwa haki zao mliona sawa tu, wakati wapinzani wanakamatwa hovyo hovyo mliona sawa tu....wakati wapingaji wanapelekwa jela, kupotezwa mliona sawa tu....
Kelele zilipopigwa mkaleta kebehi na dharau nyiiiingi sana, leo mambo yamegeuka mnataka msikilizwe na watu wawaunge mkono.....tujifunze kusimama kwenye mstari wahaki..
Nyinyi wachaga mpk sasa mmefaidika na nn? Endeleeni kuuza mbegeWasukuma mtatembea mkiongea peke yenu safari hii mbwa nyinyi
povu la nini. kuna quote ya kingereza " dead men tell no tales"Nanyie nyumbu muwe na akili hata kidogo, wapi mleta mada alipomtaja huyo dead men.
Acheni kujishtukia inaonyesha mnapambana kuuwa legacy lakini kila mkilala mnajisemea wenyewa hakika jamaa alikuwa kiongozi shupavu asieyumba na wamfano Africa.
Ukweli utawatesa maishayenuyote.
Ni akina Nani happy wanaohitaji faraja?! Una maana ya walioghushi vyeti, majambazi,wezi wa Mali za umma, vikaragosi wa mabeberu, wasaliti, wauza unga,?!Sasa hivi anaamua ya kwake kwa sababu wakati wa Baba, Mama hakusikilizwa ushauri wake kwa hiyo mumuache kabisaa awafanyie kazi watu, besides sasa hivi watu wanahitaji faraja kwanza kwa maisha walopitia hapo nyuma
Nawasilisha
Mkuu anawezaje kutafuta kazi ilhali alizoea kuishi kwa majungu na fitna?Mtoa mada nikushauri kitu, tafuta kazi ufanye. Unamuhesabia mama wa watu hadi siku za kukaa ofisini dah. Tafuta kazi achana kufatilia maisha ya huyu mama, utapata ugonjwa wa sononi. Huna namna hata moja kumkwamisha huyu mama zaidi ya kujiongelesha humu JF kitu ambacho sidhani kinaweza badili chochote.
Kamfuate Jiwe umbusu kwa mahaba tele huko anakooza shenziMama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Unamawazo mafupi mno mkuu, Endelea Kunywa mbege, wewe unaishi wapi?Mbegu mnayoipanda tunakoendea mtakuja kuanzisha vikundi vya kigaidi na kusumbua watu na mentality zenu za kitumwa na akili zilizojazwa propaganda...
Wewe na genge lenu ndio mnaingia chaka.kiongozi aliyefeli yeye na wafuasi wake huwa hawajiamini yaani ukiandika ujumbe hata hauwahusu wao na kiongozi wao wanakuja juu kukushambulia
kiongozi aliyefeli unaweza kumwambia kuwa umetishaa na akafurahi na akajiona kweli yuko matawi hata siku kama ana mwezi mmoja madarakani
kiongozi wa namna hii na wafuasi wake huishia kuaibika kupoteza mvuto na kuleta mateso na manyanyaso kwa wananchi wako
Ukiona unashangiliwa na chadema rudi ujitazame haraka unakwama wapi.
Kaufukueni mzoga wenu muusimike Tena umalizie awamu yakeyaani jitizame haraka mno
Eti ni kweli unaringia kiingereza!?dead men tell no tales"
hata hujaelewa
Pole mkuu, tunajua uliumizwa sanaKaufukueni mzoga wenu muusimike Tena umalizie awamu yake
ni simple quote. since waliosema ndio wenye lugha yao. na mm nime present kama ilivyo.Eti ni kweli unalingia kiingereza!?