Mtoa mada nikushauri kitu, tafuta kazi ufanye. Unamuhesabia mama wa watu hadi siku za kukaa ofisini dah. Tafuta kazi achana kufatilia maisha ya huyu mama, utapata ugonjwa wa sononi. Huna namna hata moja kumkwamisha huyu mama zaidi ya kujiongelesha humu JF kitu ambacho sidhani kinaweza badili chochote.
Kwendraaaaaaaa una mwambia mleta mada atafute kazi wewe nani kakwambia hana kazi? Mmezoea lelelemama ndo maana mnamchukia jpm
 
Kosa kubwa sana ni pale mlipoanzisha vita na kijana wa saigoni...pale ndipo mlipokosea....

Legacy huwa inasimama yenyewe hailazimishwi kusimama, nchi haijengwi kwa makelele, kublackmail watu, propaganda nk...nchi inajengwa kwa utulivu, hekima na busara, akili kubwa na kushirikishi watu wote...

Dawa rahisi ya hang'over ni kujitapisha ulevi wote uliobaki kichwani na kunywa maji mengi...
 
sasa 2025 mnakwenda kuchagua Chadema mliyoikataa kwa lazima, tuliwaambia wakati fulani juu ya kumlazamisha mwenda zake atengeneze katiba imara na mfumo madhubuti unakaoishi milele...mliona tunapiga makelele wakati wa kura na kutubatiza majina lukuki kama vibaraka wa mabeberu, mashoga, CDM, wapiga dili, tunakwamisha juhudi nk..

today things are not at your favor, mnalia lia lia tu, mjifunze kusimama kwenye mstari wa haki...
 
wakati wapinzani wanaonewa kwa kudhulumiwa haki zao mliona sawa tu, wakati wapinzani wanakamatwa hovyo hovyo mliona sawa tu....wakati wapingaji wanapelekwa jela, kupotezwa mliona sawa tu....

Kelele zilipopigwa mkaleta kebehi na dharau nyiiiingi sana, leo mambo yamegeuka mnataka msikilizwe na watu wawaunge mkono.....tujifunze kusimama kwenye mstari wahaki..
 
Nipo Mkoa Fulani,Jana vijana watano wakulima was mahindi walikuwa katafrija ' ka kumkumbuka Jiwe!
Mleta mada ulistahili kuwa mwalikwa 😊😊
 
Safari imepwaya imejaa maigizo yanayoleta hofu ya safari yetu ya kujijengea heshima yetu

safari hii imekuwa ya kujishusha sisi yaani tunaonekana ni wakosaji hatuwez

Yule rubani wa kwanza alikuwa akitupa hamasa na nguvu ya kupambaba na kutuambia tunaweza

huyu rubani aliyefuata anatupa hofu tu anajipendekeza tu anatafuta sifa za kulazimisha ambazo hajazifanyia kazi
Mmepoteza mwelekeo maana mliishi kwa mapambio na vigelegele...
Muungwana hujishusha ila mtwana hujikweza ili aonekane
 
Umaonekana umefiwa na una tatizo la kisakolojia hauandiki hoja bali unafanya mashambulizi kwa Mama

Pole kwa msiba
 
Kama mlivyokuwa mnatuambia juu ya kumunga mkono Mzee wetu, pia inabidi mtumbie tumuunge mkono Mama kwenye mipango yake.

Hata Mzee wetu yapo mengi tu alikosea sana lakini mlituambie tumuunge mkono na kumpa moyo tena kwa lazima na promo kuuuubwa huku wengine nao hawakulidhika na mwenendo wake pia...
 
Safari imepwaya imejaa maigizo yanayoleta hofu ya safari yetu ya kujijengea heshima yetu

safari hii imekuwa ya kujishusha sisi yaani tunaonekana ni wakosaji hatuwez

Yule rubani wa kwanza alikuwa akitupa hamasa na nguvu ya kupambaba na kutuambia tunaweza

huyu rubani aliyefuata anatupa hofu tu anajipendekeza tu anatafuta sifa za kulazimisha ambazo hajazifanyia kazi
Basi mrudishe wa kwanza!
 
Mbegu mnayoipanda tunakoendea mtakuja kuanzisha vikundi vya kigaidi na kusumbua watu na mentality zenu za kitumwa na akili zilizojazwa propaganda...
 
Pumbavu mkubwa wewe Toka hapa
Wakuu hii mijitu ni ya kupiga mangumi
Huyu Veronica tusimwache hivi hivi

Mshenzi Sana huyu
Tutamlinda mama kwa nguvu zetu zoteee
Ole wa mtu amguse tutadili nae papendicular
 
Matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii njoooniii huku njoooniii huku njoooniii huku njoooniii huku njoooniii huku njoooniii huku
 
ana pambana sana maskin ya Mungu. haamini.
labda cha kumwambia ni kuwa dead men tell no tales
Nanyie nyumbu muwe na akili hata kidogo, wapi mleta mada alipomtaja huyo dead men.
Acheni kujishtukia inaonyesha mnapambana kuuwa legacy lakini kila mkilala mnajisemea wenyewa hakika jamaa alikuwa kiongozi shupavu asieyumba na wamfano Africa.

Ukweli utawatesa maishayenuyote.
 
137 Reactions
Reply
Back
Top Bottom