Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Utekaji ni mfumo rasmi wa utawala wa awamu ya tano.
Kilichonishangaza ni yeye kuwa kimya kwenye mambo haya huku kila mara akijinadi kumtanguliza Mungu! Ben Saa nane, Gwanda, Lissu na wengineo. Angekuwa anamtanguliza Mungu kweli angekemea vikali vitendo hivi na kuagiza jeshi la polisi wasilale bila kuwatia nguvuni wahusika!
 
Atakemea vipi wakati vinamfurahisha?

Utawala wa awamu ya tano unamambo ya kitoto mengi sana
 
Hakustahili kuingia Ikulu 2015 hastahili kurudi Ikulu 2020. Mtu wa hovyo sana aliyejenga chuki ya kutisha miongoni mwa raia, pia kasababisha hofu kubwa kutokana na Watanzania kutekwa, kuteswa, kupotea na wengine kuuwawa. Anadharau raia, katiba, bunge na mahakama.

Hana sifa hata kidogo ya kurudi, ameonesha uwezo mdogo na hafifu
 
Hakustahili kuingia Ikulu 2015 hastahili kurudi Ikulu 2020. Mtu wa hovyo sana aliyejenga chuki ya kutisha miongoni mwa raia, pia kasababisha hofu kubwa kutokana na Watanzania kutekwa, kuteswa, kupotea na wengine kuuwawa. Anadharau raia, katiba, bunge na mahakama.
Ilikiwa lengo lake ili aogopwe.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hayo yote umesema vyema, lakini hujatwambia huko tulikokuwa tulikuwa kwenye utawala wa Chama gani waliofanya uzembe huo mpaka JPK kaja kututoa huko!

Kwa hiyo Mtu akisafisha Nyumba yake ni shida kwenu?
CCM imeleta mtu mwenye uthubutu, ukienda ovyo anawekwa mwingine na watu wapo wengi wa kufanya substitutes. Timu imeenea.
Zamani mlilalamika watu wanaharibu wanaachwa , wanawalea sasa JPM hawalei mnalaumu.
Hebu kuweni serious basi.
CCM oyeeee
 
Kutokana na muonekano wa mienendo ya Rais Magufuli toka aingie madarakani , mioyo ya baadhi yetu inasita kukubali kwamba hili haliwezi kutokea Tanzania.

Lakini leo nilivyoona wanajeshi wanapiga saluti Chato huko kijijini kwake, tena airport aliyoijenga yeye kitu kama kimeclick.
Tujitayarishe kuingia kwenye wakati mgumu sana tangia Tanzania ipate uhuru.

Tunaingia kwenye uraisi wa maisha.
 
Status
Not open for further replies.
185 Reactions
Reply
Back
Top Bottom