Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,696
Tatizo mnasumbuliwa na mahaba ya kumpenda mtu badala ya kuutambua ukweli, Tanzania unasema imetulia?kaikuta nchi imetulia? wakati nchi ilikuwa inanuka rushwa na hongo tena nje nje kila mwenye nacho alijiona na yeye ni rais anafanya anachotaka na hakuna wa kumgusa, leo unasema aliikuta nchi imetulia? au kutulia huko unakosema wewe ni kupi? sio kama nakubaliana na kila anachofanya hakuna mkamilifu kwenye utawala but dnt tell us kwamba hii nchi eti aliikuta vizuri now way
Kwa hiyo unataka kusema hakuna rushwa Tanzania sasa hivi?
Mikononi mwa Magufuli Tanzania inanuka shida kuliko wakati wowote ule