Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 10,884
- 20,087
Binafsi nadhani ana nia nzuri.
Lakini sidhani anajua anakoelekea.....
Yupo yupo tu.
Binafsi nadhani ana nia nzuri.
Lakini sidhani anajua anakoelekea.....
Yupo yupo tu.
😆😆😆 Siyo miwili tena, ishakuwa 6 sasa!Kuna binadamu wanaona raha kuona wenzao wakitesekaa
Mwaka wa pili watumishi hatujaongezewa huyu baba hapanaaa...huwezi nishawishi nimkubali asilan
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mzee ametuvuruga sana watumishi wa umma! Yaani kwa sasa wengi wanaishi kwa salary advance! Maana hali ni tete. Mshahara hautoshi kiasi cha kusikitisha!😆😆😆 Siyo miwili tena , ishakuwa 6 sasa !
Mitano tena.Huyu mzee ametuvuruga sana watumishi wa umma! Yaani kwa sasa wengi wanaishi kwa salary advance! Maana hali ni tete. Mshahara hautoshi kiasi cha kusikitisha!
Bora hata na yeye angepumulia mtungi wa gesi hata mwezi tu kama yule msaidizi wake! ili ukaidi, ubinafsi, ukatili, uonevu dhidi ya wengine na majivuno yake yapungue kidogo.
Eee bhana eeee!!Kwanza nikupongeze sana mleta uzi huu, uzi huu umesimama mda mrefu sana, takribani miaka mitano kasoro pili Hongera kwa swali lao, Binafsi nilitaka nivute subira ili nipate jibu la swali lako, sasa ni mda mwafaka sana wa kulijibu.
Je Magufuli ametupeleka wapi???
1. Magufuli ametupeleka kwenye nchi isiyo heshimu sheria, kanuni na tamaduni zetu kama watanzania.
2. Ametuhakikishia kuwa ili upate maendeleo ni lazima uchague kiongozi wa ccm. Refer kauli za Connection wakati wa uchaguzi Mkuu wa 2020.
3. Magufuli ametuelekeza kuwa sehem ya mhimu na ya kuijali sana ni nyumbani kwenu/ sehemu unapotoka.
4. Ametufundisha kuwa mbele ya cheo au madaraka basi elimu au ufahamu wa mambo si lolote si chochote.
5. Ametusisitizia kuwa ukiwa mwanachama wa chama cha upinzani basi wewe ni mtanzania daraja la pili. Na ukiwa mwana ccm basi wewe una haki zote
6. Amejitangaza kwamba serikali yake inataka kodi ilipwe lakini haijlai biashara ngapi zinafungwa
7. Yeye akiwa Amiri jeshi mkuu, ataondoka madarakani akiwa na record ya hovyo sana, mtu aliye jaa kiburi, majivuno, mjuaji, asiyependa kukosolewa, anaye ratibu na kusimamia raia wake kuumizwa.
Kwa sasa tuishie hapa, Akimaliza miaka yake kama akiondoka madarakani tutaongezea nyama.
Kweli kabisa mkuu, katuachia vumbi hapa kachomoka kama risasiKwa sasa tumeamua tu kupambana kivyetu. Yeye mwache aendelee kula maisha. Ila tu asisahau hili janga ni la wote. Hata ajifukize vipi! Siku yake ikifika, na yeye atakwenda tu.
Hivi hili somo lililo kwenye mchakato litatekelezwa? Maana aliyeamrisha hawezi kuamrisha tenaNdalichako chukua huu uzi uingize kwenye Mtaala wa somo jipya la HISTORIA YA TANZANIA
Mbali hivyo mkuu..Huu uzi utatufaa sana ifikapo 2025
DUMU KUBWA
NuktaSiyo miwili tena , ishakuwa 6 sasa !
Mama Samia kaachiwa mzigo mkubwa sana kusawazisha haya yoteKwanza nikupongeze sana mleta uzi huu, uzi huu umesimama mda mrefu sana, takribani miaka mitano kasoro pili Hongera kwa swali lao, Binafsi nilitaka nivute subira ili nipate jibu la swali lako, sasa ni mda mwafaka sana wa kulijibu.
Je Magufuli ametupeleka wapi???
1. Magufuli ametupeleka kwenye nchi isiyo heshimu sheria, kanuni na tamaduni zetu kama watanzania.
2. Ametuhakikishia kuwa ili upate maendeleo ni lazima uchague kiongozi wa ccm. Refer kauli za Connection wakati wa uchaguzi Mkuu wa 2020.
3. Magufuli ametuelekeza kuwa sehem ya mhimu na ya kuijali sana ni nyumbani kwenu/ sehemu unapotoka.
4. Ametufundisha kuwa mbele ya cheo au madaraka basi elimu au ufahamu wa mambo si lolote si chochote.
5. Ametusisitizia kuwa ukiwa mwanachama wa chama cha upinzani basi wewe ni mtanzania daraja la pili. Na ukiwa mwana ccm basi wewe una haki zote
6. Amejitangaza kwamba serikali yake inataka kodi ilipwe lakini haijlai biashara ngapi zinafungwa
7. Yeye akiwa Amiri jeshi mkuu, ataondoka madarakani akiwa na record ya hovyo sana, mtu aliye jaa kiburi, majivuno, mjuaji, asiyependa kukosolewa, anaye ratibu na kusimamia raia wake kuumizwa.
Kwa sasa tuishie hapa, Akimaliza miaka yake kama akiondoka madarakani tutaongezea nyama.
Ohoooo!!Hivi hili somo lililo kwenye mchakato litatekelezwa? maana aliyeamrisha hawezi kuamrisha tena
Too bad hajatoka salama kwenye mtungi wa gas aone jinsi tulikuwa tukihuzunika juu ya hali yake.Bora hata na yeye angepumulia mtungi wa gesi hata mwezi tu kama yule msaidizi wake! ili ukaidi, ubinafsi, ukatili, uonevu dhidi ya wengine na majivuno yake yapungue kidogo.
🙄 Dah! So sad!! Sikumuombea kifo! Ila tumateso tudogo tu!! Lakini ndiyo hivyo tenaToo bad hajatoka salama kwenye mtungi wa gas aone jinsi tulikuwa tukihuzunika juu ya hali yake.