Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Tuvumilie kunakaribia kupambazuka
Kuna mtu wa jikoni aliniambia hakuna kipindi serikali inakuwa inaishiwa kama kipindi cha awamu hii. Nikauliza, kama serikali inajisifia kukusanya fedha kuliko vipindi vilivyopita, kwa nini serikali iwe inafilisika na kukosa fedha kuliko awamu zilizopita? Akaniambia mipango mibovu ya matumizi ya fedha za serikali inayoamuliwa na mtu mmoja. Sikutaka kuuliza tena.
 
No need to disclose his/her identity. But yuko right 100%.
 
Magu kavamia uongozi wa juu wa nchi ambapo uwezo wa kuongoza hana kabisa.
Kuna mtu wa jikoni aliniambia hakuna kipindi serikali inakuwa inaishiwa kama kipindi cha awamu hii. Nikauliza, kama serikali inajisifia kukusanya fedha kuliko vipindi vilivyopita, kwa nini serikali iwe inafilisika na kukosa fedha kuliko awamu zilizopita? Akaniambia mipango mibovu ya matumizi ya fedha za serikali inayoamuliwa na mtu mmoja. Sikutaka kuuliza tena.
 
Kuna mtu wa jikoni aliniambia hakuna kipindi serikali inakuwa inaishiwa kama kipindi cha awamu hii. Nikauliza, kama serikali inajisifia kukusanya fedha kuliko vipindi vilivyopita, kwa nini serikali iwe inafilisika na kukosa fedha kuliko awamu zilizopita? Akaniambia mipango mibovu ya matumizi ya fedha za serikali inayoamuliwa na mtu mmoja. Sikutaka kuuliza tena.
Ukienderea kuuliza unaweza kujikuta unaumwa corona.
 
mimi nipo ipalamwa nalima njegere na ninasafirisha sokoni naingiza hela kama kawaida..., ukitaka mali utazipata shambani..sio mjini.
 
Nadhani Watanzania wengi walikuwa na matarajio makubwa sana Magufuli alipochaguliwa kuwa raisi, kwamba atazuia ufisadi, kusimia kuwajibika na maisha yatakuwa bora sana zaidi ya viongozi waliopita. Hata tukatangaziwa elimu bure na kujua ndio mwanzo wa neema za uraisi wa Magufuli.

Lakini sasa najiuliza sana, mbona maisha bado ni magumu sana na tuko mwaka wa sita wa uraisi wa Magufuli? Hizo neema za uraisi wa Magufuli tutafaidika nazo lini, mwaka wake wa mwisho wa uraisi? Maana kimsingi bado miaka kama minne tu raisi Magufuli aondoke. Nadhani kila mtu atakubali katika hiii miaka sita ya Magufuli maisha ni magumu sana kuliko ilivyokuwa kipindi cha Kikwete kwa kila Mtanzania. Sasa ni nini hasa ambacho tunaweza kusema uraisi wa Magufuli umetufaidisha sana wanananchi? Flyovers, Dreamliners, SGR?

Hivi kama sisi watu wa mjini, tulioajiriwa, wafanya biashara nk, tulalalamika maisha ni magumu sana, huko vijijini hali yao ikoje? Hao wanyonge wanaotakiwa kufaidika kipindi cha uongozi wa Magufuli ni kina nani na watafaidika lini?

Au itabidi tubadilishe Katiba ili aendelee kuwa raisi na tupate matunda ya uraisi wake miaka 20 ijayo, kama Corona haijatumaliza?
Ni kwa ajili ya kizazi kijacho, hata wachina na wamerikani wanaofurahia maendeleo ni sababu kuna kizazi kilijitolea.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom