The coolest jw
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 655
- 1,030
Kuhusu mishahara nasema wazi kabisa kuwa mishahara ya watumishi sio tu wa Mahakama, watumishi wote mishahara yao haitoshi, hata mimi wangu haunitoshi kabisa, lakini tujenge Nchi”- JPM
Mungu wabariki mabeberuWaambie hao na pia mwambieni Pompeo kama anataka majina mengine atucheki humu JF. MIMI NIPO UOANDE WA MABEBERU WEWE JE?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu, sasa wewe hutaki kuonekana wa maana? Onesha mfano anzisha hiyo thread.Hizi thread mngeanzisha kudai tume huru angalau mngonekana wa maana
Sent using Jamii Forums mobile app
There this proverb 'if you do not know where you're going any road will take you there' the answer is they do not know where they are goingIna maana hii serikali ni bora kuliko kuliko awamu zote nne zilizopita?
Nyerere pamoja na kugombana na Serikali ya Makaburu wa South Africa waliokuwa wakiungwa mkono na Marekani pamoja na Uingereza lakini hakuwahi kunyoshewa kidole na jumuiya za kimataifa wala Marekani yenyewe.
Alikuwa Rais mwenye hekima kubwa, alitanguliza maslahi ya taifa lake mbele na siyo Chama.
Nyerere hakuwa mwana CCM, bali alikuwa mtanzania, kuna tofauti kubwa Kati ya kuwa mwana CCM au mwana CHADEMA na kuwa mwana Taifa (mzalendo ) .
Watu wenye uelewa mdogo hudhani kupenda vyama na kusifia viongozi wao ndo Uzalendo.
Vyama vyote vya siasa ni Taasisi za kupita tu, na hata viongozi nao wanapita tu, lakini Taifa lipo daima.
Kuna Chama kikubwa Tanzania kina wanachama wengi mambumbumbu kupindukia, yaani wapo wapo tu bora siku zinaenda, vichwa ni zero brain kabisa, hawana strategies zozote za kimaisha zaidi ya kusifia Chama chao na viongozi wao .
Hawa watu baadhi yao wamemaliza mamilioni ya Pesa bila ya kumiliki mradi hata mdogo tu, kuna mmoja alimaliza mil 76 sasa hivi anatafuta kazi hata ya sh laki 5 kwa mwezi.
Back to the point!
Kwanini iwe awamu ya Tano wapinzani wapigwe risasi na wengine kutoweka?
Halafu baada ya kukemewa na Taifa kubwa mseme nyie ni nchi huru, kwa hiyo Kama ni nchi huru mna Uhuru wa kuua na kutesa watu hovyo si ndiyo?
Serikali zote nne zilizopita hazijawahi kuwa na uhusiano mbaya na mataifa ya magharibi Kama hii awamu.
Kubambika Kesi wakosoaji wa serikali hakuifanyi Tanzania kutajirika.
Magufuli hana jipya la kuwaeleza watanzania labda wale 80% ya wasindikizaji ktk kundi la intellectuals.
Ni aibu kubwa mno kundi la watu linalosifia kila kitu, utadhani hii awamu ya Tano inaongozwa na Mungu.
Nimekumbuka maneno ya Mwalimu wangu wa Saikoloji .
"A person whose wit is faded prefers being exalted every time, when you try to get him right over any wrongdoing, he'll pick stones and chasten you ".
There is this proverb 'if you do not know where you're going any road will take you there' the answer is they do not know where they are going
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanajitoa ufahamu bila aibu, unaweza dhani hawapo timamu kichwani.Kuna Chama kikubwa Tanzania kina wanachama wengi mambumbumbu kupindukia, yaani wapo wapo tu bora siku zinaenda, vichwa ni zero brain kabisa, hawana strategies zozote za kimaisha zaidi ya kusifia Chama chao na viongozi wao .
Sababu ya yote haya ni kushindwa vibaya uchaguzi wa 2015 kwa kuambulia kura mil 3 unusu tu dhidi ya zaidi ya kura mil 10Ina maana hii serikali ni bora kuliko kuliko awamu zote nne zilizopita?
Nyerere pamoja na kugombana na Serikali ya Makaburu wa South Africa waliokuwa wakiungwa mkono na Marekani pamoja na Uingereza lakini hakuwahi kunyoshewa kidole na jumuiya za kimataifa wala Marekani yenyewe.
Alikuwa Rais mwenye hekima kubwa, alitanguliza maslahi ya taifa lake mbele na siyo Chama.
Nyerere hakuwa mwana CCM, bali alikuwa mtanzania, kuna tofauti kubwa Kati ya kuwa mwana CCM au mwana CHADEMA na kuwa mwana Taifa (mzalendo ) .
Watu wenye uelewa mdogo hudhani kupenda vyama na kusifia viongozi wao ndo Uzalendo.
Vyama vyote vya siasa ni Taasisi za kupita tu, na hata viongozi nao wanapita tu, lakini Taifa lipo daima.
Kuna Chama kikubwa Tanzania kina wanachama wengi mambumbumbu kupindukia, yaani wapo wapo tu bora siku zinaenda, vichwa ni zero brain kabisa, hawana strategies zozote za kimaisha zaidi ya kusifia Chama chao na viongozi wao .
Hawa watu baadhi yao wamemaliza mamilioni ya Pesa bila ya kumiliki mradi hata mdogo tu, kuna mmoja alimaliza mil 76 sasa hivi anatafuta kazi hata ya sh laki 5 kwa mwezi.
Back to the point!
Kwanini iwe awamu ya Tano wapinzani wapigwe risasi na wengine kutoweka?
Halafu baada ya kukemewa na Taifa kubwa mseme nyie ni nchi huru, kwa hiyo Kama ni nchi huru mna Uhuru wa kuua na kutesa watu hovyo si ndiyo?
Serikali zote nne zilizopita hazijawahi kuwa na uhusiano mbaya na mataifa ya magharibi Kama hii awamu.
Kubambika Kesi wakosoaji wa serikali hakuifanyi Tanzania kutajirika.
Magufuli hana jipya la kuwaeleza watanzania labda wale 80% ya wasindikizaji ktk kundi la intellectuals.
Ni aibu kubwa mno kundi la watu linalosifia kila kitu, utadhani hii awamu ya Tano inaongozwa na Mungu.
Nimekumbuka maneno ya Mwalimu wangu wa Saikoloji .
"A person whose wit is faded prefers being exalted every time, when you try to get him right over any wrongdoing, he'll pick stones and chasten you ".
Hembu tuwekee yakwako hapaNikiangalia yanayoendelea juu ya uchumi wa nchi yetu,democrasia ya nchi yetu,uhuru wa kujieleza ndani nchi yetu kasi ya kunyanganya haki ya kuishi ya watanzania, naona aibu kwa degree waliyotoa UDOM kwa JPM unless kama ni mgonjwa otherwise,watu tunajitafutia kudharauliwa wenyewe
Nikuwekee nini?Hembu tuwekee yakwako hapa
Umeelewa nilichoandika?