Anayejua mbegu zinapopatikana au miche ya Strawberry

Anaejua mbegu zinapopatkana au miche
Pia hata alie lima kama anauza matunda
Nataka kujumua..kwa mbeya wap zinapatikana
Wewe ndiye ulikuwa unajitangaza juzi Clouds FM kwenye PB kutokea kusini mwa Tz?
 
Uko wapi kwanza? Make inategemea na enei uliko.

Starwverry zinapenda joto la wastani lisilo zidi nyuzi joto 30 ndo maaba kwa maeneo ya Pwani mara nyingi huwezi lima zikawazaa.

Aina ziko zaidi ya 60 pia hapa inahitajika umakini kwenye aina na si zote zinazo faa au kuna zinategemeana na mazingira.

Niko Arusha nalima Chandrlie hii ni variety yenye matunda makubwa sana kuliko Variety zote.

Na pia Undongo zinataka tifutifu ndo undongo mzuri.

Kikubwa sana.

1. Maji maji maji zinapenda mnl maji mno. Usiwe na maji ya kubabaisha.

2. Mbolea mbole mbole. Zinapenda sana mbolea kulingana na levo yao

Nitafute kama unataka miche inangawa sina kwa wingi kwa sasa.
 
Njombe na iringa kwa sasa wamejitahidi wanalima kibiashara Kama haujapata Miche niinbox 0714600575
Anaejua mbegu zinapopatkana au miche
Pia hata alie lima kama anauza matunda
Nataka kujumua..kwa Mbeya wap zinapatikana
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom