K Kelvin Mmary Member Apr 19, 2018 8 7 May 23, 2020 #1 Nauliza kwa anayejua kuhusu masuala ya investing kwenye stock na mutual funds tuwasiliane please.
SK2016 JF-Expert Member Apr 6, 2017 7,971 13,662 May 23, 2020 #2 Dah! Aisee! Nina rafiki yangu yuko vizuri kwenye haya mambo ila sijui kama anapitia huku. Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Aisee! Nina rafiki yangu yuko vizuri kwenye haya mambo ila sijui kama anapitia huku. Sent using Jamii Forums mobile app
ashraf mwalimu Member Dec 26, 2015 53 47 May 23, 2020 #3 Wataka kujua nn khs stocks? Sent using Jamii Forums mobile app
zxcvbnm Member Sep 20, 2018 68 97 May 23, 2020 #4 Unataka kujua nini uliza hapa ujibiwe kwa manufaa ya wote.
ashraf mwalimu Member Dec 26, 2015 53 47 May 23, 2020 #5 Unataka kujua overall what is stock na jinsi unavyonufaika? Au unajua somehow khs stocks ila unataka kujua soko la tz linavyo operate? So toa maelezo then huenda nikawa najua unachotaka nikujibu maana nina elimu nayo kiasi fulani. Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kujua overall what is stock na jinsi unavyonufaika? Au unajua somehow khs stocks ila unataka kujua soko la tz linavyo operate? So toa maelezo then huenda nikawa najua unachotaka nikujibu maana nina elimu nayo kiasi fulani. Sent using Jamii Forums mobile app