Anayejua kuhusu malipo wa wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi serikali za mtaa

KUKU-DUME

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
474
196
Ndugu JF,

Naomba kwa anayefahamu juu ya hili.Kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi wa serikali za mitaa mkurugenzi ana mamlaka ya kuteua wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa.

Swali langu: Je, hawa wasimamizi wasaidizi wanatakiwa kulipwa shilingi ngapi kwa siku maana tunahisi maafisa uchaguzi wa huku kwetu wanataka kuchakachua.

Naomba mnisaidie.
 
Msaada ninaoweza kukupa ni sio tafadhari bali ni tafadhali. Pia jitahidi kuandika vizuri na umalizie herufi ya mwisho ya neno
 
Huo sasa utoto, tangu lini tukaanza kutukaniana ID zetu? Kama hukijui kilichoulizwa usitukane kausha waje wanaojua maana huwezi kujua kila jambo.

nashukuru kwa kuwaoa elim hao washamba wanao jiona wanajua kila kitu kwao sahihi...
 
mbona sasa hapa jf panaanza kuonekana mahali pa kipuuzi? mtu akiuliza jambo kama hulijui ni bora kukaa kimya kuliko kutukama bila sababu za msingi. @moderators kuweni makini na kazi yenu. watu wapuuzi wanaotukana bila 7bu yafaa wachukuliwe hatua.

BACK TO TOPIC
mkuu, hata sisi hapa wilayani kwetu nahisi tunataka kuchakachuliwa. wasimamizi wasaidizi wamefanya kazi kwa muda wa siku 7 kwa maana kwamba wanatakiwa walipwe 70,000/= kama makarani walivyolipwa lakini wamelipwa 20,000 za awali na wameahidiwa kulipwa 30,000 baadaye (ukijumlisha unapata 50,000 badala ya 70,000). nahisi wasimamizi wamechakachuliwa 20,000. ni vema hili suala likawekwa wazi na tume ya uchaguzi yenyewe badala ya kuwategemea wakurugunzi ambao wengi wao ni wezi wakubwa!

genuinely, tungeomba watu mliopo kwenye wilaya zingine mtuambie rate za huko zikoje. meanwhile naomba mtu anayefahamu namba za tume ya uchaguzi anipe ili kesho nije niwapigie moja kwa moja wanipe utaratibu wa malipo. natanguliza shukrani kwa msaada wenu great thinkers.
 
Huku waligawa fomu za wagombea kwa siku 7@10000=70000
waliandikisha kwa siku 7@10000=70000
jumla wameramba
140000/=
walikuwa wanasubili siku ya uchaguzi lakini kwa bahati mbaya 3/4 wagombea wa chadema wameenguliwa ko hakuna uchaguzi bali kutangazwa.
 
mkuu barua za uteuz wa wasimamiz wasaidizi ninasema umeteuliwa kuwa msimamizi msaidizi kuanzia tarehe 29/10/2014 hadi tarehe 14/12/2014..je hapo unatakiwa kulipwa siku zote za tarehe hiyo au wanatakiwa wakulipe kiasi chochote kile wanachotaka wao?

nimeuliza lengo tunataka kudhibiti ufisad hivyo tunaomba tusaidiane ili tutakavyo wabana hawa tuwe na uhakika..unaweza ukakuta watu wamesha jengea nyumba hizi fedha.
 
Ukiona wamekupa fedha ndogo wewe usihangaike nao, ukiona kashinda mgombea wa ccm wewe mtangaze wa chadema ndiye mshindi unakuwa umeshajilipa kiinua mgongo
 
mkuu barua za uteuz wa wasimamiz wasaidizi ninasema umeteuliwa kuwa msimamizi msaidizi kuanzia tarehe 29/10/2014 hadi tarehe 14/12/2014..je hapo unatakiwa kulipwa siku zote za tarehe hiyo au wanatakiwa wakulipe kiasi chochote kile wanachotaka wao?

nimeuliza lengo tunataka kudhibiti ufisad hivyo tunaomba tusaidiane ili tutakavyo wabana hawa tuwe na uhakika..unaweza ukakuta watu wamesha jengea nyumba hizi fedha.

mkuu, malipo yanayotakiwa ni yale ya kusimamia zoezi la uandikishaji kwa siku 7 na malipo ya siku ya uchaguzi (ninavyofahamu mimi). siku ya semina watu wamelipwa 10,000 + LUNCH--lakini hawakuambiwa lunch ni ya sh ngapi--hapa ndipo uchakachuaji ulipoanzia. hii nchi mimi imenishinda kabisa. naomba namba ya tume ya uchaguzi niwapigie kwa aliye nayo.
 
Huku waligawa fomu za wagombea kwa siku 7@10000=70000
waliandikisha kwa siku 7@10000=70000
jumla wameramba
140000/=
walikuwa wanasubili siku ya uchaguzi lakini kwa bahati mbaya 3/4 wagombea wa chadema wameenguliwa ko hakuna uchaguzi bali kutangazwa.

wilaya gani?
 
mkuu nime quote comment yako pale juu tafadhar naomba ufafanuzi.

mimi nimesema hivi: wasimamizi wasaidizi walisimamia uandikishaji kwa siku 7--tangu jumamosi hadi ijumaa. so kwa rate ya tsh 10,000 walipaswa walipwe 70,000 kwa zoezi la uandikishaji tu. siku ya uchaguzi inatakiwa walipwe sh 10,000. ila wameambiwa watalipwa 50,000 (kwa siku 5 za uandikishaji badala ya siku 7!)--wameishalipwa 20,000 deni limebaki la 30,000--watamaliziwa lini haijulikani! unaona ufisadi huu? hapa pana harufu ya UFISADI!
 
mimi nimesema hivi: wasimamizi wasaidizi walisimamia uandikishaji umeanza kwa siku 7--tangu jumamosi hadi ijumaa. so kwa ni tsh 10,000 walipaswa walipwe 70,000 kwa zoezi la uandikishaji tu. siku ya uchaguzi inatakiwa ni sh 10,000. ila wameambiwa watalipwa 50,000 (kwa siku 5 badala ya siku 7!)--wamelipwa 20,000 deni limebaki la 30,000--watamaliziwa lini haijulikani! unaona ufisadi huu? hapa pana harufu ya UFISADI!

nashukuru mkuu...nategemea kupata taarifa kamili toka kwako baada ya kuwasiiana na tume..ili nijue chakufanya kuzuia huu ufisadi..
 
huku kwetu mkuranga hatukufanya semina, pili tuliambiwa kila siku ni tsh. 10,000/=, tatu eti leo ndio tumepigiwa simu na watendaji wetu kuwa fedha zimefika na kuwa tutakuwa na semina ijumaa ambapo tutakipwa 20,000/= na jumapili tutalipwa 30,000/=
 
mkuu barua za uteuz wa wasimamiz wasaidizi ninasema umeteuliwa kuwa msimamizi msaidizi kuanzia tarehe 29/10/2014 hadi tarehe 14/12/2014..je hapo unatakiwa kulipwa siku zote za tarehe hiyo au wanatakiwa wakulipe kiasi chochote kile wanachotaka wao?

nimeuliza lengo tunataka kudhibiti ufisad hivyo tunaomba tusaidiane ili tutakavyo wabana hawa tuwe na uhakika..unaweza ukakuta watu wamesha jengea nyumba hizi fedha.
mkuu kudhibiti ufisadi kwa wakurugenzi ni kazi kwelikweli, yaani kwa mfano kule kusini wilaya ya mbinga mpaka sasa waandikishaji hawajalipwa kamwe hata senti tano, mkurugenzi na watendaji wa kata na vijiji wamefanya siri kubwa, na leo wameanzisha semina ngazi ya tarafa na haijulikani kama watalipwa ama lah! Tatizo la tamisemi ufisadi umejaa kwelikweli na pinda yukoyuko tu.
 
mkuu, malipo yanayotakiwa ni yale ya kusimamia zoezi la uandikishaji kwa siku 7 na malipo ya siku ya uchaguzi (ninavyofahamu mimi). siku ya semina watu wamelipwa 10,000 + LUNCH--lakini hawakuambiwa lunch ni ya sh ngapi--hapa ndipo uchakachuaji ulipoanzia. hii nchi mimi imenishinda kabisa. naomba namba ya tume ya uchaguzi niwapigie kwa aliye nayo.
mkuu huu uchaguzi wa sm tume haihusiki kamwe! Tamisemi ndo wahusika wakuu, na ndiko ufisadi uliko tamalaki.
 
Back
Top Bottom