Anayejua kuhusu historia ya ukoo wa Mndolwa

Habari wanajamvi,

Kama kichwa cha hapari hapo juu kinavyosema, ninatafuta kujua historia ya Ukoo wa Mndolwa. Ukoo huu una patikana Tanga maeneo ya Korogwe.

Ninacho tafuta mimi nikujua family tree ya huu ukoo, kama kuna mtu anaejua historia ya huu ukoo kuanzia 1850 mpaka sasa naomba tafadhali anijulishe.

Asanteni.
Kwa jamii zetu za Kiafrika zisizo na kumbukumbu yeyote,sidhani kama utapata chochote!

Na siku hizi asili za makabila au watu zimekua-crimilized in such a way ukijifanya unatafuta historia wananchi wanakuona kama "Mkabila" as if mtu kutafuta asili yake ni kosa!

If you dont believe me,subiri utaona posts za watu hapa hapa watasema "mkabila"

Just wait and watch this space!

Yaani tupo brainwashed kama mavichaa vile tunapoteza asili zetu na historia zetu na vyanzo vyetu sababu ya hii upumbavu wa wanasiasa wa CCM and their lunatics!
 
Hapa kuna mtu anatafutwa kudukuliwa sijajua lengo la mleta mada ni nini but I smell a Rotten rat somewhere

Naomba wana jamii forums tusitoe ushirikiano kwenye hii Mada to save somebody mndolwa asiyejulikana
 
Kuna eneo kule Upareni, Mamba Miamba eneo linaitwa NDOLWA fuatilia huko wapo jamaa kibao ubini wao ni MNDOLWA wanatokea na kuishi huko.
 
Habari wanajamvi,

Kama kichwa cha hapari hapo juu kinavyosema, ninatafuta kujua historia ya Ukoo wa Mndolwa. Ukoo huu una patikana Tanga maeneo ya Korogwe.

Ninacho tafuta mimi nikujua family tree ya huu ukoo, kama kuna mtu anaejua historia ya huu ukoo kuanzia 1850 mpaka sasa naomba tafadhali anijulishe.

Asanteni.
Ukipata wasaa msake Askofu mkuu kanisa Anglican Tanzania anatoka ukoo wa Mndolwa anaweza kuwa msaada kwako
 
Habari wanajamvi,

Kama kichwa cha hapari hapo juu kinavyosema, ninatafuta kujua historia ya Ukoo wa Mndolwa. Ukoo huu una patikana Tanga maeneo ya Korogwe.

Ninacho tafuta mimi nikujua family tree ya huu ukoo, kama kuna mtu anaejua historia ya huu ukoo kuanzia 1850 mpaka sasa naomba tafadhali anijulishe.

Asanteni.
Wachaga ndo maana wanatuzidi kila sekta. Sisi Wasambaa tunahangaika na ufundi cherehani, bidhaa magengeni na kutafuta asili ya ukoo ambao kimsingi hauleta chakula mezani
 
Wana nini cha maana hadi tuwajue ,usikute wewe mwenyewe ndio hao unaowauliza hawana cha maana kufanya wajulikane atawajua nani ? Fanya mambo makubwa historia itakukumbuka bila kutafuta kama hivi toka babu yako had wewe hakuna aliyemiliki degree hebu Google jina mandera majibu kaa nayo
Mandera ni county huko Kenya, ndio unakotokea?
 
Kuna eneo kule Upareni, Mamba Miamba eneo linaitwa NDOLWA fuatilia huko wapo jamaa kibao ubini wao ni MNDOLWA wanatokea na kuishi huko.
Kule juu ninapajua sana na nimesha fuatilia. Umenitajia mamba miamba nikakumbuka kwetu.
 
Anza kuuliza kwa Askofu mkuu wa kanisa Anglikana Tanzania naye ni Mndolwa ni mzee anaweza akawa anajua ABC zikakusaidia ndg.!
 
Wasambaa ..waliobadili dini na kuwa waislam
Waliongezea jina la Sheikh mwanzo.
Sheikh Mndolwa..ndo mwisho ikawa Shemndolwa...kama ilivyo Kwa Kilango na Sheikh Kilango .. mwisho Shekilango..na Lukindo na Shelukindo....

Hivyo koo.za Mndolwa na Shemndolwa .ni koo moja..
 
tafuta hela wewe mambo ya koo yanakusaidia nn?
 
Wana nini cha maana hadi tuwajue ,usikute wewe mwenyewe ndio hao unaowauliza hawana cha maana kufanya wajulikane atawajua nani ? Fanya mambo makubwa historia itakukumbuka bila kutafuta kama hivi toka babu yako had wewe hakuna aliyemiliki degree hebu Google jina mandera majibu kaa nayo
Mkuu huo sio ukoo wa kubeza .

Kuna hawa wachache nawafahamu :-

Dr . Edmund Mndolwa - M/kiti Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa na Mjumbe wa CC .
Huyo ni kati ya wasomi waadilifu na waliobobea ktk masuala ya uchumi . Unaweza Ku - Google CV yake ni hatari .

Kuna Raymond Mndolwa , huyu anamuita Dr . Edmund baba mdogo . Nafikiri aliwahi kuwa mmoja wa watu wanaoongoza idara muhimu huko National Housing .

Kuna Faustin na Arthur Mndolwa hawa ni baadhi ya watoto wa Dr . Edmund husaidia kusimamia biashara za mahotel na utalii za familia yao .

Siyo ukoo wa kubeza sema tu ni watu wanaojishusha hawataki kelele za media , wanafukuza mwizi kimya kimya .

Wape heshima yao mkuu , hawa ni job creators na walipa kodi wazuri .
 
Back
Top Bottom