Anayejua kuhusu historia ya ukoo wa Mndolwa

uniq

JF-Expert Member
Nov 22, 2011
5,089
31,085
Habari wanajamvi,

Kama kichwa cha hapari hapo juu kinavyosema, ninatafuta kujua historia ya Ukoo wa Mndolwa. Ukoo huu una patikana Tanga maeneo ya Korogwe.

Ninacho tafuta mimi nikujua family tree ya huu ukoo, kama kuna mtu anaejua historia ya huu ukoo kuanzia 1850 mpaka sasa naomba tafadhali anijulishe.

Asanteni.
 
Sina uhakika kama wanapatikana korogwa navojua ni Tanga Muheza kma unaelekea Amani
 
Ina wezeka ikawa ni kuhama hama kwa kila binadamu ila niliwahi kusikia kuwa ukoo huo wanapo tokea kabisa ni maeneo ya Korogwe.
 
Sasa mkuu si ufunge safari tu ukakamate mmoja wao mkapime DNA? Wako wengi mno huko Tanga!
 
Habari wanajamvi,

Kama kichwa cha hapari hapo juu kinavyosema, ninatafuta kujua historia ya Ukoo wa Mndolwa. Ukoo huu una patikana Tanga maeneo ya Korogwe.

Ninacho tafuta mimi nikujua family tree ya huu ukoo, kama kuna mtu anaejua historia ya huu ukoo kuanzia 1850 mpaka sasa naomba tafadhali anijulishe.

Asanteni.
Wana nini cha maana hadi tuwajue ,usikute wewe mwenyewe ndio hao unaowauliza hawana cha maana kufanya wajulikane atawajua nani ? Fanya mambo makubwa historia itakukumbuka bila kutafuta kama hivi toka babu yako had wewe hakuna aliyemiliki degree hebu Google jina mandera majibu kaa nayo
 
Habari wanajamvi,

Kama kichwa cha hapari hapo juu kinavyosema, ninatafuta kujua historia ya Ukoo wa Mndolwa. Ukoo huu una patikana Tanga maeneo ya Korogwe.

Ninacho tafuta mimi nikujua family tree ya huu ukoo, kama kuna mtu anaejua historia ya huu ukoo kuanzia 1850 mpaka sasa naomba tafadhali anijulishe.

Asanteni.
Uko sahihi lakini ukitaka kummulika nyoka lazima anzie miguuni je wewe historia ya ukoo wako unaifahamu tangu mwaka huo? Lakini pia familia ya Mndolwa hawajafa wote na unaifahamu ilipo ingependeza kama una nia nzuri nenda waombe kuwa kutokana na sifa zao unaomba wakufahamishe historia ya ukoo wao, wakiridhia watakupa. Humu utadanganywa au kutiliwa mashaka
 
Historia ya Ukoo wangu nina ijua nusu ndio maana natafuta kuanzia huo mwaka. Mtu anapouliza kitu ina maana kuna kitu anataka kujua. Ingekuwa vizuri kuuliza swali kuliko kuhukumu kwanza.

Back
Top Bottom