Fahamu kupika Vitumbua vya aina mbalimbali

Sidhani kama kuna direct connection kati ya kuchoma vitumbua na kunenepa!
Aidha kuchoma vitumbua ni kazi ya kivivu thus why vibonge wengi wanaiweza!

Cc: Dinazarde! Teh teh teh!

Hahaaaaa.... Ya kivivu kwani kuandaa mchele na kuuosha ni uvivu?
 
Search kuna thread za vitumbua kila aina humu

Jaan Si umention ile thread yako nzuri na easy kwa vile mchele umesagwa.....alafu kuna moja hiyo katika kusaga unachanganya na uji mwepesi wa sembe na wengine wanaweka unga kabisa wa sembe kama 1tablespoon tu
 
Ukitaka kupika vitumbua vya haraka roweka mchele wako kwa zaidi ya masaa matatu usitumie mchele mpya pima kikombe kimoja kikubwa chukua tui la nazi kikombe kimoja sukari na amira changanya vyote kwenye blender ila usiweke tui jingu pima hata kikombe cha kahawa sukari inategemea utashi wako saga ila usisage sana ukawa laini sana acha uumuke angalia uzito tia maji mpak uone wepesi wa kati anza kuchoma nadhani unafahamu kuchoma vitumbua
 
Jaan Si umention ile thread yako nzuri na easy kwa vile mchele umesagwa.....alafu kuna moja hiyo katika kusaga unachanganya na uji mwepesi wa sembe na wengine wanaweka unga kabisa wa sembe kama 1tablespoon tu

Jaan mi hata sikumbuki niliviweka kwa jina gani...sijui vitumbua vya maziwa nadhan.. lol ila akisearch vitumbua vitashuka vyoote vya nyama, michele etc
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom